"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, January 5, 2009

New Year 2009

“Another fresh new year is here . . .
Another year to live!
To banish worry, doubt, and fear,
To love and laugh and give!

I have the opportunity
Once more to right some wrongs,
To pray for peace,
To plant a tree,
To love the unloved,
To think the unthinkable,
To pursue the impossible,
And sing more joyful songs!
And much more................."

9 comments:

Subi said...

L

Subi said...

Wajina,
Hebu subiri kwanza kidogo.
Inakuwaje wewe na mkeo mnafanana? Kwa kweli nimewahi kuona watu wanaofanana baada ya kuoana lakini ninyi mmeanza mapema zaidi.
Kumbikumbi nyie.
Hata nashindwa kusema mtoto kamfanana nani kati yenu!
Hongereni!

Bwaya said...

Mnapendeza! Safi sana.

Heri ya mwaka mpya familia ya Mbilinyi

Lazarus Mbilinyi said...

Bwaya!

Asante sana, na wewe heri ya mwaka mpya 2009 na Mungu akupe mafanikio kwa kile ambacho mikono yako inagusa.

Upendo daima

Lazarus Mbilinyi said...

Wajina,

Asante sana naamini n miujiza ya Mungu kwani hata siku nimekutana naye (Gloria) nilihisi kitu si cha kawaida kama vile tumezaliwa familia moja na nikamuuliza kama ni ndugu yangu hata hivyo aliponiambia yeye mtu wa Tanga (zigua) na mimi mtu wa Njombe (bena) nikashangaa sana.
Hata hivyo wakati mwingine tunacheza kama dada na kaka kitu cha ajabu wote tulizaliwa siku ya Jumanne (yaani Lazarus, Gloria na Emmanuel)
Karibu sana naamini miaka mitano ijayo tutakuwa kama kulwa na doto.

Upendo daima

Anonymous said...

du kwa kweli mnafanana kweli hadi kucheka kwenu mnafanana!Nimewapenda kweli,na hii blog ndio nimeiona last week nimeipenda sana.naona nitakuwa nanyi pamoja.Ila mbona naona kama unachat na yasintha tu?au inamasharti fulani nini!tell me nisijejichanganya bure.

Lazarus Mbilinyi said...

Kuna dada ameuliza kuhusu dada Yasinta kuwa mchangiaji mara kwa mara, jibu ni kweli dada yangu Yasinta ni mtani wangu wa jadi na pia tunatoka eneo moja huko Ruvuma so kwake lazima aseme chochote kwa mimi kaka yake.
Kila mmoja anakaribishwa kutoa maoni kuchangia kitu chochote hata kutoa somo kwa wengine kwani lengo hasa ni sisi wote kuwa na mahusiano yanayotupa raha kimwili, kiroho na kihisia huku tukimtanguliza Mungu na kutii sheria zake ambazo ni msingi wa ndoa zetu bila kujali dini gani.

Upendo daima

Anonymous said...

Asante kaka mbilinyi kunijibu na kunito wasiwasi,tutakuwa pamoja katika kudumisha ndoa zetu kimawazo,hili ni zuri sana.Ila samahani wewe nimbilinyi uliyesoma SUA Morogoro?Yasinta nakusalimia pia,zidi kuipa blog changamoto.
Mrembo wa I.

Lazarus Mbilinyi said...

Mrembo wa I,

Nashukuru sana kwa mawazo yako na mchango wako.
Ukweli mimi sikusoma SUA, na pia Mbilinyi tupo wengi sana kama mchanga wa baharini.

Ukitaka kunifahamu vizuri wasiliana nami kwa lazarusmbilinyi@gmail.com

Upendo daima