"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, January 30, 2009

Weekend Njema

Match zetu za soccer ni gender balanced.

3 comments:

Anonymous said...

Kaka Ubarikiwe sana, Kila mchezo unahitaji Gender balance, Hahahhaahhha Ni utani tu kaka ila umependeza kwelikweli, Weekend pia kaka, Salamu kwa wote hasahasa Mrs Mbilinyi.
Msafiri

Anonymous said...

Kaka mambo vipi? huyo dada ni Sawiche Wamunza?

Lazarus Mbilinyi said...

Dada Hellen,

Ndiyo huyo ni dada Sawiche Wamunza, tumewahi kuwa timu moja UNDP Tanzania (dream team Maendeleo star) waulize watu wa Ministry of Foreign Affairs tulikuwa tunawafunga magoli mengi tu.

Sasa Sawiche hayupo na mimi sipo sijajua timu inaendelea vipi, hapo tulikuwa Leaders Club October 2006 Mwaka mmoja kabla sijaondoka.
Upendo Daima