"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, February 13, 2009

Weekend Njema!

“Without question the future of a nation depends on how it sees its women”

2 comments:

Fikirikwanza said...

Hallo ,is this ng'anga, or nyamadebe. nimecheka sana hadi nikafurahi maana nilkuwa nimesha anza sahau kama kuna kuna hizi midembo. nilipo ona picha basi nikakumbuka kule kwa mzee hibwa nikiwa ona vibibi na midembo kama hii.

kweli maisha iyake mtu mwenye na hukuna mwingine awezaye yaishi.

Lazarus Mbilinyi said...

Fikiri kwanza!
Mzee Hibwa (puppy) alishafariki siku nyingi sana na yake makazi yake sasa wanaishi panya na sungura pori.

Pi juhudi zinatakiwa zaidi kwani akina bibi sasa inabidi waende zaidi ya umbali ule maana kasi ya deforestation ni kubwa kuliko reforestation.