"Marriage is our last, best chance to grow up."

Tuesday, March 10, 2009

Watoto wa tiger wapata mama

Ilipotokea hurricane ijulikanayo kwa Jina la Hannah huko South Carolina USA watoto wawili wa tiger walitelekezwa na mama yao hata hivyo Chimpanzee ajulikanaye kwa jina la Anjana aliendelea kuwalea kwa upendo wa hali ya juu kama watoto wake.
Anjana anajulikana kwa style yake ya kuwa mlezi na ameshawahi kulea watoto wa simba pia

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kila mtu/kitu kinahitaji kuthaminiwa.LAKINI hii ni ajabu kidogo kwani kuna watoto wangapi wa binadamu ambao hawana sehemu za kuishi? Hapo ndo mtu unapojiuliza nani ana thamani zaidi? Ni hayo tu

Lazarus Mbilinyi said...

Pia si kuna habari huko Tanzania kwamba kuna mtoto aliwahi kutunzwa na wanyama kwa muda mrefu hadi alipookolewa inaonesha nyani jamii hii wanafanana na bindamu sana linapokuja suala la upendo wa kulea watoto.
Hata hivyo hata wanyama nao wana haki ya kupewa mahali pazuri kuishi sambamba na binadamu kuhakikisha kila mtoto anayezaa anakuwa na mahali bora pa kuishi.

Upendo daima

Anonymous said...

acheni Mungu aitwe Mungu

MS GBennett