"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, May 1, 2009

The man who finds a wife finds a treasure, and receives favor from the LORD.
Proverbs 18:22 (NLT)

3 comments:

Anonymous said...

duH! hii picha nimeipenda sana hasa tabasamu za maharusi zinaonyesha zinatoka moyoni na sio usoni, asante sana kaka Mbilinyi kwa picha hii imenikumbusha mbali sana siwezi kusimulia

HAPPY MAY DAY
Mdau

Lazarus Mbilinyi said...

Mdau,
Ni kweli maharusi wamependeza sana na inapendeza sana.
Jambo la msingi ni baada ya hayo matabasamu je yataendelea kuwaka miaka 10, 15 ijayo?
Hata hivyo naamini yanaweza kuendelea kuwaka zaidi kwani ndoa ni kukua kutoka hatua moja ya utukufu hadi nyingine na kila miaka inavyoongezeaka mnazidi kufanana na kujua mambo mengi zaidi na kuwa smart katika idara zote bila kujisahau katika kuombeana na kusameheana.

Upendo daima

Anonymous said...

Sawa kaka nimekupata kwa ushauri wako,,yote uliyoyasema ni kweli kabisa...Mungu akubariki

Mdau