"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, May 4, 2009

Ni mwili mzima!

Haina haja kuchezea kipande tu cha uwanja wakati mnaruhusiwa kiwanja chote na kuonesha skills zote kwa pasi za mbali na karibu loo! Kisaikolojia wanaume wengi (si wote) ni genital aroused (wakiwa kwenye sita kwa sita huwaza sana south pole na kupeleka mkono sharp kama kupokea pesa bank), hata akiwa na Mwanamke anaweza kusisimua matiti na uke tu then akaendelea kuchimbua dhahabu yake na kwa namna na style zote anajua.
Wanawake wao ni “Generally aroused” kwa maana kwamba kwao foreplay ni mwili mzima na mwili mzima kwake ni “one big sex organ” hivyo wana uwanja mkubwa sana wa mwanaume kuchezea kabla ya kwenda bondeni kuchimbua gold habari njema ni kwamba wanawake wanajua kwamba wanahitaji mwanaume mwenye mikono slow kuchezea uwanja mzima kabla ya south pole.

Kwa Mwanamke erogenous zones si matiti na between the legs bali ni entire body, huwa Inaumiza sana wakati mwingine Mwanamke anakuta mwanaume hata kukisi tu anasahau na moja kwa moja anakimbilia kwenye clit.. kwa kuwa ni joy button, ni vizuri lakini unahitaji kuuandaa mwili mzima kwanza hadi mind yake ifunguke na kuwa ready kwa shughuli ndipo ukimbilie kwenye kisimi then nice sex moments.

Wengi katika kujifunza masuala ya mapenzi (hasa wanaume) na hasa suala la kufanya maandalizi (foreplay) anajua kitu cha msingi ni kwenda moja kwa moja kubusu, kuchezea matiti kidogo (geresha tu) then anakimbilia bondeni na kuanza kupima kuona kama kuna unyevu wa kutosha ili mtambo uanze kuchimbua dhahabu huku anasahau kwamba lazima mwili mzima wa mwanamke lazima uhusike kupata matokeo mazuri ya dhahabu unataka kuchimbua, sex ni mwili, mood, ubongo na lazima vyote vijui kwamba kuna mitambo ya kuchimba dhahabu imefika.

Mwanaume kukimbilia bondeni haraka hupelekea sex kuwa na utaratibu unao bore ambao mwisho husababisha Mwanamke kuepukwa sex kwani anajiona unamtumia kutimiza raha zako bila kumpa yeye raha.
Kumpa mguso (emotional touch) kwa kumhudumia mwili mzima ambao kwa mwanamke ni kiungo kimoja cha mapenzi.

Fikiria mwanaume umechelewa kurudi na unakuta mkeo kalala fofofo, kwa kuwa unahamu na kuwa mwili mmoja bila kusema chochote wala kujua mwenzio ameshindaje wewe moja kwa moja na mkono wako sharp unakimbilia kuanza kusugua clit.. yake, huo si ustaarabu kabisa, ni kukosa maadili ya ndoa (immoral) na unahitaji kufahamu kwamba kila kitu kina utaratibu wake huwezi kuweka unga kwenye maji kabla hayajachemka ukitegemea ugali utaiva na kuwa mtamu shauri yako utaishia kujaza unga hadi kiwe kitu kingine na si ugali tena.

Pia kuna wanawake ambao maumbo yao huwa na kasoro kama unene sana, au kifua Kuwa flat kama mwanaume au matiti kuwa makubwa mno (Nido au mtindi, watermelon), huwa hawajisikii vizuri au kutojiamini (bad self image) na huwa na mtazamo negative so akiona wewe ume concentrate hapo anaanza kujisikia vibaya na husababisha kutojiamini (insecurity) then kutosisimka.
Ni vizuri kujifunza strength na weakness za maeneo ya mke au mume wake ili kutosababisha kuharibu mambo pia ni muhimu mtu kujiamini kwamba wewe ni mzuri na kama ulivyo unaweza kuwa mtaalamu na kurishika na kurishisha mwenzako.
Ni wewe so unaogopa nini na mume au mke ni wako.
Wapo wanandoa ambao ni waoga na hawajiamini kiasi cha kushindwa kabisa kuwa uchi mbele ya mwenzake. Ni aibu na kupitwa na wakati.

Pia utafiti unaonesha kwamba wanaume wengi waliooa ni wagumu sana lipokuja suala la kubusiana na wake zao wakati wa maandalizi ya tendo la ndoa, wengi walikuwa wazuri sana kubusu wakati ndoa zilikuwa mpya na miaka inavyoenda basi wanazidi kupunguza skills na muda wa kubusu ingawa wanaonekana kwa sex ndo wenyewe skills zimeongezeka.

Upendo daima!


9 comments:

Anonymous said...

Mmm hii kali saana, nimeipenda,
By
AH USA

Anonymous said...

haahaaa! halo hapa leo umenitoa ,nimecheka sana hasa nilipo iona picha ya habari nikilinganisha na maada,! unajua hapa naona hadi referee yupo walau anaregulate mambo ,sasa hiyo habari vipi referee nani kama sio ofside hadi basi.
lakini ni habari njema na ni somo zuri kwani nimewahi soma habari kama hii ila ni wanawake walio kuwa wanaklalamika,eti jamaa kila siku anamwambusha mkewe usiku wa manane, ili afanye shughuli zake . yeye hata danganya toto haipo ,ni moja kwa moja na badaye analala zake, mwanamke ansema amechoka na kutumiwa kwani haoni umuhimu wowote wa ndoa. na mwingine anasema jamaa mchana hana mpango kabisa naye ila ikifika saa ya ├╣chezo basi yeye ndoo referee na ndiye mechezaji sasa naye huoyo anaomba taraka heri arudi nyumbani kwa wazazi kuliko matezo ya kimepenzi. hata hivyo naona ofside ndani ya ndooa na rough ni mambo ya kawaida sana ,basi sema hatuna runinga za kulusha ndani ya ndoa champion ligue. otherwise hii maada inaweza kuwa referee safi sana.
Edmund

Lazarus Mbilinyi said...

Kaka Edmund!
Kwenye ndoa ndo mwisho wa reli kama hapo huwezi kujifunza basi tena ndo maana ninyi wenyewe ndo marefa hutakiwi kicheza rafu maana sheria 17 za kiwanjani moja wako ni kumtanguliza mwenzako na kuachana na selfishness.

Na wewe umenichekesha sana!

Kazi kwelikweli

Anonymous said...

ujua kuna wengine wanataka kufunga hata kama yupo mbali kabisa na gol na pasi kwao ni mwiko. Unajua mpira unao zungumzwa hapa ni very morden,lakini wale wanaocheza mipira bila kocha,si vurugu tupu?.
edmund

Lazarus Mbilinyi said...

Kaka upo sahihi soccer bila kocha ni vurugu tupu na kocha wa ndoa ni Kristo mwenyewe.
Na kitabu kizuri kusoma ili uwe mchezaji hatari kiwanjani ni Bible Kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi ufunuo.
Inasikitisha kwa nini bado (wanaume) tunacheza rafu na kuwa na vurugu na zaidi tunapenda kucheza robo kiwanja wakati tumepewa uwanja mzima kucheza (mwili wa mwanamke)

Upendo daima

Anonymous said...

swali kaka lazarus
mimi najifahamu kuwa nikipata busu toka kwa mume wangu sehemu za kwenye matiti, g spot na shingo ni very sensitive, na mume wangu nae anapenda kuanza kugusa hapo, sasa utakuta inapelekea anaingiza mdoli kwa haraka kwa kuwa tayari nipo wet sasa swali linakuja nifanyeje kutokana na somo la leo la mwili mzima niamue tu kumwambia mume wangu aendelee kubusu sehem nyingine hapo ambapo ni sensitive ndo pawe pa mwisho ili aniingie au? maana kuchezewa mda mrefu napenda lkn nikiguswa matiti,shingo kwa ulimi wake tu haipiti hata dk 5 siwezi vumilia lazma nimwambie aingize.
ushauri tafadhali

Anonymous said...

Mada ya mwili mzima mmh inanigusa nimeipenda hakika nitaona utukufu wa bwana ,raha ya ndoa kwenye ndoa yangu.
Jamani mi binafsi unanifundisha mengi kuhusu ndoa, na kweli ndoa ni mbingu na bila kristo ndoa haiwezi kuwa mbingu.

Tanzania

Lazarus Mbilinyi said...

Kwa dada mwenye swali kuhusu kuchezewa mwili mzima kwanza:

Ushauri wangu ni kwamba ongea naye ila be very careful kwani wanaume wengi ukiwa unawaambia jambo zuri kuhusu mapenzi wanadhani unawafundisha na wao hawajui kumbe ni kutaka kuimarisha zaidi. Unaweza kumwambia kwa kuanza kumsifia kwamba "Siku hizi unanipa raha sana na unaniridhisha sana na napenda sana vile unaanzaga kunichezea mwili mzima polepole kwa muda mrefu then kwenye hot zones zangu (busu la sikio, shingo na sehemu zingine ambazo nipo sensitive)
Uzuri wako akishapita kwenye maeneo yako sensitive huwa unatamani aingie haraka na akiiingia haraka kabla ya kuchezeana sana anamaliza haraka wakati inawezekana wewe bado, ili mwanaume akae muda mrefu inabidi pia awe mwilini mwako (kiwanjani kwa muda mrefu) ndipo akuingie.
Jambo la msingi ni kuongea naye kama rafiki na mpenzi usisahau kumpa kwanza credit kwa kazi yake nzuri.

Upendo daima

Anonymous said...

hii mechi vipi haishi tuu, naona watu bado pilikaplika uwanjani ,hata likizo hamna. Ila nasikia kuna jamaa ,falmilia fulani hua wanapeana likizo sometiems ni zile ndefu hadi unasahau !!
edmund.