"Marriage is our last, best chance to grow up."

Sunday, June 21, 2009

Be careful!

(Picha kwa hisani ya www.blisstree.com)Mtengenezaji keki mmoja aliambiwa aandae kike na kuyaweka maandiko ya Biblia kutoka 1Yohana 4: 18 kwa uzembe akaenda kutengeneza keki na kuweka maneno ya Biblia kutoka Yohana 4:18

Hivyo basi keki ilisomeka:
Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanamume unayeishi naye sasa si mume wako!’’
Yohana 4: 18

Badala ya
Katika upendo hakuna hofu.
Lakini upendo ulio kamili huitupa nje hofu, kwa sababu hofu inahusika na adhabu.
Kila mwenye hofu hakukamilika katika upendo.
1Yohana 4: 18

Hapo si kutaka maneno na kuharibu sherehe za watu.

1 comment:

Anonymous said...

Kaka mbilinyi mambo vipi? Sina shaka kwani najua mungu yu pamoja nawe. Mtengeneza Keki huyu ni mkiristo kweli kwani nina mashaka naye.
Mbarikiwe na bwana. Msafiri