"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, July 3, 2009

Tulia wala usijali kama ni joto umepata
Jipe raha! wakija watanifukuza tu!

Na sisi zoezi tunalijua!

Unashangaa nini? wewe ni kitoweo changu leo
Mm,, Geuka nyuma!
Kajanja sana haka, leo kamekwisha!
Mbona leo mmenishukia kama mti!


Nipige kama unaweza kwa hii style!

No comments: