"Marriage is our last, best chance to grow up."

Saturday, July 25, 2009

Weekend Njema!

Swali:
Mtaalamu au mtu anayetumia vifaa vilivyopo kwenye picha hujulikana kwa jina gani?

4 comments:

Anonymous said...

Shalom! nahisi atakuwa mganga wa jadi maana chupa hizo hizijakaa kihospitali mifuniko juu mh!Hicho kama kakakuona sijui ni kinini jamani?


Mama P

Lazarus Mbilinyi said...

Mama P,

Hongera kwa jibu zuri ila umechemka huyo si mganga wa jadi, chemksha ubongo tena unaweza kupata maana jibu lako linaelekea.

Upendo daima

Anonymous said...

anaitwa ngaliba wa kutahili wanawake

Lazarus Mbilinyi said...

Ni kweli,

Uliyetoa jibu la Ngaliba umepatia mia kwa mia.
Unastahili zawadi!

Hata kama dunia imebadilika sana bado vitendo vya ukeketeji vinaendelea baadhi ya makabila hapa Afrika na hiyp picha ni moja ya zana za ngaliba baada ya kuzikabidhi na kuacha ungaliba huko Afrika magharibi.

Tupige vita vitendo vya aina hii kwa wanawake na mabinti.

Upendo daima