"Marriage is our last, best chance to grow up."

Wednesday, August 12, 2009

Any fool can have a trophy wife.
It takes a real man to have a trophy marriage.
Diane Sollee,

3 comments:

Anonymous said...

Bwana Yesu asifiwe!
Broo mimi naomba msaada wako tu,

Hivi ukutaka kujua kipaji cha mwanao akiwa bado mdogo ni vigezo vipi utumie au nyenzo tunakuwa tunakosa kwa kujua hilo maana napenda kweli kujua karama za mwanangu akiwa bado mtoto ili nikuze pamoja nitampa elimu.
Samahani kwa kuingilia mada but
wapo watu ambao tuna award marriage like us jamani, bravooo tujifagilie

Anonymous said...

I think also any fool can have a trophy husband.It takes a real woman to have a trophy marriage either!

Mdau

Lazarus Mbilinyi said...

Amina Kubwa!
Inapendeza sana pale unapo invest kuihakika katika ndoa yako kwani familia bora ni heri kwa taifa.

Kuhusu kujua talents za mtoto wako naomba univumilie leo au kesho nikupe hints au tips, naenda kwenye mtihani so sitaweza kukupa haraka haraka (ikiwezekana itakuwa post inayojitegemea) kwani hakuna kitu muhimu kama mtoto wako kwenda katika direction ambayo atafurahia kufanya kazi ambayo anaipenda.

Asante sana kwa swali zuri na Mungu akubariki sana.

You are welcome!

Upendo daima