"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, August 24, 2009

Kukubali kutokukubaliana!

Kabla hatujaoana, mchungaji aliyefungisha ndoa alituambia
You are two imperfect people making an imperfect union and that is wondwerful”
huu ushauri ulinifanya nishangae kwani naamini ndoa bora wanandoa hukubaliana kila kitu.

.Hata hivyo baada ya kuishi kwenye ndoa miaka 5 tumejifunza kukubaliana na tofauti na mawazo ya kila mmoja wetu na tumegundua kwamba tofauti zilizopo baina yetu zinatufanya kila mmoja wetu kuwa special
Beth Swanson

7 comments:

Anonymous said...

Hahahaha,
Mchungaji wangu alinishauri kwamba sex ikiwa nzuri ni asilimia 10 tu ya ndoa na sex ikiwa ovyo ni asilimia 90 ya ndoa, hivyo niwe makini kuhakikisha sex inakuwa exciting siku zote kwani ikiwa ovyo ndoa huathirika asilimia 90.
By Mwaluhengo

Anonymous said...

Shangazi yangu alinishauri kwamba kama ninachelewa kutengeneza dinner, jambo la kufanya ni kupanga vyombo mezani tayari kwa kula (set the table)kwa njia hiyo mume atafikiria atakula muda wowote na hataanza kulalamika kitu ambacho kitanipa muda wa kutosha kuandaa. Ni trick ya kizamani lakini nimeitumia kila mwaka mara tatu au nne na inafanya kazi vizuri sana.
RM Dar es Salaam

Anonymous said...

On my wedding-invitation RSVP cards,
I left space for guests to write their favorite wedding wisdom. The one that rings truest after almost nine months of marriage is:
'Attack the issue, not each other.'
How it works:
If my husband and I disagree about something, we stay focused on the issue and skip the personal put-downs."
— Melissa Gitter Schilowitz,

Anonymous said...

"My husband's great-aunt wrote a list of the 10 most important things in a marriage, and she gave it to me at my bridal shower. It read:

10.Patience
9. Kindness
8. Patience
7. Communication
6. Patience
5. Caring
4. Patience
3. Patience
2. Love
1.Patience

"First of all, this couldn't be more true. Second, an 80-year-old woman made up a top-10 list; how funny is that?"

USA

Anonymous said...

My stepfather told me to always laugh and never take myself too seriously.
After four years of marriage, I know that this trick works.
My husband and I often play practical jokes on each other and always try to crack each other up, even in the middle of an argument. Hey, if one person laughs, a fight tends to fizzle, doesn't it?"

Anonymous said...

"Always have separate closets, my best friend told me.
It may seem silly, but I listened to her and made sure to find a one-bedroom apartment with two closets (mine being the larger, of course).
Now my husband and I each have our own private space, and we respect that:
If he wants to keep his shoes in one huge heap or leave his dirty clothes in a pile on the floor, the mess doesn't bother me a bit!"
— Patricia

Anonymous said...

siku moja kabla ya harusi, Mama yangu alinishauri kuchukua karatasi na kuandika mambo matatu ambayo siyapendi kuhusu mume wangu mtarajiwa na baada ya kuyaandika niyasahau na kumsamehe.
Hii imenisaidia kuwa na focus kwenye uwezo wake na si udhaifu wake na kwa miaka 8 ya ndoa tumekuwa na business kwa ajili ya kipato chetu na pia tumebarikiwa kuwa na watoto wawili.
Kupenda ni kuamua na uamuzi bora ni kumkubali mwenzi wako kama alivyo na kuheshimu tofauti zilizopo.