"Marriage is our last, best chance to grow up."

Thursday, August 6, 2009

Kuzima na kuwasha!

Hata mwili wa mume au mke huwa na automatic switch ya kuwa on au offKama kufanya mapenzi kati ya mke na mume huweza kuwaunganisha wanandoa kiasi kwamba hata kama kuna bad relatioship huweza uwa nzuri na mpya pia suala la kufanya mapenzi mke na mume huweza kuua mahusiano mazuri kama timing na utendaji unakuwa tofauti.

Je, vitu gani humfanya Mume kuwa turned off kitandania na mke wake?
Mke mvivu kitandani
Mume hapendi kabisa mke ambaye wakiwa kitandani anaonesha kutofurahia kile mume anafanya au kufanya mapenzi pamoja.
Kuna usemi kwamba zamani za kale wanawake walifundishwa wakati wa kuwa mwili mmoja walitakiwa “just lie back and think of England” hizo siku zilishapita.
Mume hahitaji Mke ambaye ni submissive tu bali yule anajishughulishe na kufurahia kile Mume anafanya.
Kuwa kama gogo kitandani hakumridhishi mume na Mume hujiona ni foolish.
Mume huhitaji mke ambaye ni active na anaye enjoy sex pamoja.

Mke ambaye hata siku moja haanzishi suala la kuhitaji sex.
Kama hakuna hata siku moja ambayo mke anajisikia kumtamani mume na hatimaye kumuomba tendo la ndoa basi Mume hujiona hahitajiwi na mke wake na inampa maswali why.
Hata hivyo hapa ni Mke kuwa initiator na si demanding.

Mke asiyejichunga kuhusu mwonekano wake:
Rahisi kabisa, wanaume huvutiwa na kile wanaona hivyo physical attractiveness ya Mke ni muhimu sana kwa mume wake, generally Mke huangalia sifa za ndani za Mume kama tabia za ndani zinazomfanya Mke kujiona safe na secure.
Hivyo mke ni muhimu kujitahidi kuonekana attractive, kutumia common sense kuhusiana na masuala ya usafi, pamoja na kula vizuri, kufanya mazoezi na just taking good care of your body.

Mke ambaye hupo so concerned kuhusu appearance yake.
Ingawa wanaume huvutiwa sana na Mke ambaye ni naturally pretty, hali ni tofauti kwa Mke ambaye anajiona urembo wake ndiyo kitu cha msingi kwake.
Mke ambaye anakuwa obsessed na urembo wake au vipodozi vyake ambavyo ameweka kwa mwili wake hadi anafanya tendo zima la ndoa kuwa gumu eti anaweza kuharibu iwe nywele zake au vipodozi alivyoweka huweza kufanya turn off ya uhakika kwa mume.

Mke ambaye hawezi kuhudumia vizuri stick ya mume wake kwa raha zake.
Mke yeyote ambaye hana skills za kumhudumia mume wake kiungo muhimu ambacho kinatumika kumpa yeye mwenyewe raha ya mapenzi kwa kujitoa na kuonesha ni kiungo special huweza kuwa turn off kwa mume.

Je, nini vitu gani huweza kuwa ni turn on kwa mume kutoka kwa mke wake?
Mke anayefurahia sex
Kila Mume anapenda Mke ambaye anapenda sana kuwa na Mke ambaye anafurahia sex na mume wake mara kwa mara anapohitaji.

Mke ambaye anaweza kuwa initiator wa sex sometimes.
Mume anapenda kujua mke anamuhitaji yeye mume kama yeye mke anavyomuhitaji mume.
Mke anayemsifia mume wake kwamba ni the best lover in the world hasa linapokuja suala la kuwa mwili mmoja.
Mume hufurahia mke ambaye anamsifia, anamshukuru kwa raha anayompa na jinsi alivyo great.
Hata hivyo haina haja mke kudanganya kwamba anapata raha kama hakuna lolote.

Mke ambaye anamshirikisha mume vitu ambavyo vinamsisimua katika positive way siyo critical.
Kwa kuwa wanaume ni sensitive sana hivyo basi positive message huwa inafanya kazi kubwa kuliko negative na kitandani suala hili ni muhimu mno.
Unachotakiwa ni kuwa loving partner kitandani na si kutumia maneno ambayo mume anaweza kusababisha hata stick yake kurudi ground zero.
Badala ya kutoa sauti kubwa na kwa ukali kwamba “usifanye hivyo” unaweza kusema “unaonaje ungefanya hivi

Mke anayeweka kipaumbele kuwa na sex kama mume anavyoweka kipau mbele suala la kufanya sex na mke wake.
Mume anapenda mke ambaye ana share hamu yake ya mapenzi kwa mume na kwamba mke yupo attracted kwa mume.

Tutaendelea na mambo matano ambayo huwa ni turn off kwa mke na pia nini hufanya mke kuwa turned on na mume wake.....................

7 comments:

Anonymous said...

Hi!
Ni kweli but wanaume ndio huwa wanafanya tuwe hivyo aslimia kubwa mno huwa wanakurupuka tu kuhitaji tendo la ndoa lakini tukipata maandalizi weee tunatumika hasa.

Kaka Mbilinyi mimi shida yangu kwako naomba niandikie vitabu vya kusoma nitajitahidi kuvitafuta na kwa ajili ya watoto pia(mafunzo ya kulea mtoto na ndoa pia)

Halafu malizia yale mambo uliosema yapo 16 ukatupa 5 tu.

Mama P!

Anonymous said...

Hi Broo,
let me say that your star. Niwachache sana kama wewewanaweza toa mawazo yao na kuwashirikisha wengine.
Ubarikiwe na Bwana, Msafiri

Lazarus Mbilinyi said...

Mama P,
Hongera sana kwa kuwa unapenda kulea watoto na pia kuwa na familia bora kwa hiyo attitufe tu ni asset kubwa kwamba mumea anajiona fahari kuwa na mwanamke ambaye anajitahidi kuwa na skills mpya ili kuimarisha familia na kumpa Mungu utukufu.

Kuhusu vitabu au mafunzo ya ndoa na watoto kwa sasa itakuwa ngumu kidogo kwani muda mwingine napelekeshwa sana na shule nikimaliza shule naamini nitakuwa na muda hivyo kuweza kutimiza ndoto na matarajio ya wengi.

Pia dada huwa husahau, nilishasahau kama sikumaliza yale mambo 16 basi nakuahidi kumalizia yale yalikuwa yamebaki, hongera sana kwa kunikumbusha maana ilikuwa imetoka hiyo!

Kaka msafiri nitafurahi kuitwa star kama ndoa yako itakuwa inampa Mungu utukufu zaidi kwani lengo letu ni kuhakikisha ndoa zetu zinakuwa na siri zote ambazo zinaweza kuzifanya ziwe na afya na mafanikio yangu ni yetu sote na jambo la msingi tuombeane ili Mungu atupe maarifa zake ya kujua nini wapenzi wetu wanahitaji na tuwape ili waridhike kwenye feelings zao na kwamba hakuna mwingine anaweza kuwapa kitu halisi na cha uhakika kama mimi na wewe.

Ubarikiwe na Bwana

Upendo daima

Upendo daima

Anonymous said...

shalom kaka

nimebarikiwa sana na hii mada brother, tutumike wapenzi
Ms GBennett

Anonymous said...

Wewe kaka hii ni kiboko.
Looo hatari saana

USA

Anonymous said...

Hy
kaka mbilinyi uko juu yaani unazungumza vya ukweli kabsaa!
mimi hua nnaulizwa kitandani vile najiskia lakin hua nna aibu sana nnashindwa kusema
mdau

Lazarus Mbilinyi said...

Kama huwa unajisikia aibu sana si unaweza kutumia lugha ya vitendo kwa kuonesha wapi unapenda au kuelekeza mikono yake wapi akuguse hata hivyo kwa nini uwe na aibu wakati una enjoy birth right yako.

Omba Mungu aondoe aibu kitandani ukiwa na mpenzi wako kwani hapo ni mahali unatakiwa kuji-express kwa raha zako.

Ubarikiwe na Bwana

Upendo daima