"Marriage is our last, best chance to grow up."

Tuesday, August 4, 2009

Nanyi mtakuwa mwili mmoja!

Ilikuwa ni siku ya furaha tarehe 02/08/2009 kwa kaka Aman Billa na Dada Happy Massawe waliposaini mkataba na agano la hiari la kuishi pamoja hadi kifo kitakapowatenganisha katika kanisa la Tanzania Assemblies of God- Kimara Dar es Salaam Tanzania.
Tunawapongeza sana na kuwatakia kila la kheri na afya njema katika maisha mapya.
Mungu awabariki sana.
Picha zote kwa hisani ya Joshua Jeremia (North Mara)

No comments: