"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, August 24, 2009

Style ipi inasisimua?

Kama vijiko ina raha yake! Swali
Mimi ni mwanamke mwenye umri miaka 32 nipo kwenye ndoa miaka 5 na nimejaribu milalo mbalimbali ya kuweza kunisisimua kimapenzi hadi kunifikisha kileleni kirahisi na imeshindikana.
Je, ni mlalo upi (sexual position/love making position) unaweza kupendekeza ili nisisimke na kufika kileleni?

Jibu
Kwanza asante kwa swali zuri na si wewe peke yako mwenye kukumbana na tatizo la aina hii, kwani wanandoa wengi hata kama hawaridhishwi inavyotakiwa katika ndoa zao kimapenzi bado wamekuwa wagumu kuzungumzia suala la sex kati ya mke na mume au kuomba ushauri.
Pia suala la sex ni muhimu sana katika ndoa kwani ukiridhika katika sex na ndoa utaiona inakuridhisha.

Pili aina ya mlalo (sexual, love making psotion) si dawa ya kukusisimua ingawa ni moja ya vionjo ambavyo vinaweza kukufanya uwe na tendo takatifu la ndoa linakuridhisha.
Hata hivyo kutokana na uzoefu pamoja na tafiti nyingi na medical reports nyingi dhahiri kwamba mlalo wa Rear Entry au Doggie Style ni moja ya mlalo unaoridhisha mwanamke na kumhakikishia kufika kileleni (orgasm) bila shaka.

Why?
Kitendo cha uume kukuingia kwa nyuma husaidia kumpa uwezo mwanaume kuweza kukupa thrusting inayokupa raha pia uume huweza kusugua G-spot na kuweza kukumfikisha mwanamke katika utamu na raha isiyotamkika.
Ili uume kufikia G spot (deliecious hidden joy button) lazima uume uingie huku uke ukiwa angled na hii doggie style ndiyo mlalo perfect.
Pia ukifika kileleni kwa kwa kuguswa G spot utataka zaidi na utaingizwa kwenye ulimwengu mwingine kabisa wa raha ya mapenzi.

Zaidi pia ni kwamba mwanaume anakuwa na uwezo wa kuwa huru kuendelea kuchezea (rub) kisimi, kuchezea matiti (chuchu) hasa kama hivi vyote vinakusisimua na kama mpo portable mnaweza kuendelea kupeana kisses huku kila kitu kikiwa kinapaa kwenda hewani.

Hii ni deep penetrative sex ambayo mwanaume huwa dominant na mwanamke huwa submissive hivyo ni mlalo natural (primitive)

Pia muungano wa miili miwili kugusana kimahaba husaidia mwanaume kuona (visual) mwili wa mwanamke kwa nyuma na kama mwanaume ni mgonjwa wa kuona matako ya mke wake (fahari ya mwanamke wa Afrika) basi itakuwa dawa sahihi kwake kukupeleka mwendo wa mbali zaidi kwa yeye mwenyewe kusisimka kwa kuona vitu au kitu (ila isiwe giza nene).

Zaidi pia shaft ya uume wa mume huweza kutoa sensation ya ajabu kwenye vulva kiasi cha mke kupata raha ya ajabu.

Kawaida mwanamke huweza kufika kileleni kwa njia ya kisimi, G-spot na uke wenyewe, hivyo hii style inaweza kukupa vyote kwa wakati mmoja. Kutofika kileleni kwa sytle ya aina hii ni kweli hapo kutakuwa kuna tatizo kubwa.

Pia wakati wa kupeana mahaba mwanaume hujikuta balls zake zinagusa uke au kisimi na hii inaweza kukupa raha kama si kukufanya uwe wet zaidi na zaidi hahaha over and over!
Je kuna mlalo mwingine zaidi?
Ni kweli tendl la ndoa ni sanaa hivyo ubunifu ni kitu cha msingi kabisa, mlalo mwingine ni ule wa front to back/spoons (mke na mume kulala kama vijiko vinavyopangwa kwa maana kwamba wote mnalala (kiupande)kuelekea upande mmoja kwa mume kulala nyuma ya mke na kumwingia kiubavu kwa nyuma).
Hii pia huweza kuleta matokeo sawa na ile ya doggie style au rear entry.
NB:
Jambo la msingi ni kwamba ili kuwa na tendo la ndoa linaloridhisha kwa na maandalizi ya kutosha ndiyo jambo la msingi (foreplay) si suala la kukimbilia haraka doggie style wakati hamjasisimuana vya kutosha.
Na mawasiliano ni jambo la msingi kabisa.

6 comments:

Anonymous said...

Raha ina kuwa double pale na mimi mwanamke nikiwa na thrust back.
Acha kabisa hii kitu!

Anonymous said...

umejibukvizuri saana yaani nimefeel jibu lako..ni kweli 100%..alafu kwa kuongezea pia mwanamke anaweza kulala kabisa na kutanua miguu kidogo huku ukimwekea mto tumboni na mwanaume kuja kwa nyuma...

alafu by experience mimi kama mwanaume pia dog style pia husaidia kuwa kukojoa/kupiga bao kwa mwanaume kwani anakuwa free kucontrol mihemo yako na presure!

ila kwa wenzangu na mie wenye mboo ndofu lazima uwe makini kwani unaweza muumiza mwenzio na ukaharibu sherehe...

Cox
coxlee13@yahoo.com

Anonymous said...

Jibu zuri xana, umechambua kwa undan kabisa

Anonymous said...

nmekuelewa sana, na nmependa, ila kuna kitu kinasumbua kidogo. MIMI NI MWANAUME
KILA TUNAPOPEANA AHADI YA KUFANYA MAPENZI NA MPENZI WANGU SIKU HIYO BASI GHAFLA NAINGIWA NA HOFU, MPAKA INAPELEKEA KUISHIWA NGUVU NA HAMU INATOWEKA KABISA TATIZO NINI???

Anonymous said...

Eeeh

Unknown said...

Muwe munaweka na picha za hizo style ili tujifunze zaid kwa vitendo na maono halisi