"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, September 25, 2009

Kumaliza haraka!

JE MAANA YA KUMALIZA MAPEMA NI NINI?
Kumaliza mapema ni kitendo cha mwanaume kushindwa kuthibiti kukojoa (Ejaculation) kwa muda unaotakiwa hadi mke kuridhika wakati wa tendo la ndoa au ni kitendo cha uume wa mume kushindwa kusimama (dinda) kwa muda wa kutosha hadi mke kuridhika na tendo la ndoa au kufika kileleni.

Kudumu muda mrefu wakati wa sex maana yake ni kuweza kuthibiti kukojoa mapema (premature ejaculation).
Kukojoa mapema kwa mwanaume kabla ya mwanamke kuridhika ni tatizo sugu la wanaume wengi duniani.
Watu huelezea aina hii ya udhaifu kwa kutumia muda kwa maana kwamba wengine huchukua sekunde chache tu katika dakika na anakuwa amemaliza, wengine ni strokes chache tu in and out anakuwa ameshamaliza hoi na hawezi kuendelea tena huku mke bado hamu imemjaa.

Jambo la msingi hapa ni kwa nini inashindikana kuzuia kumaliza mapema na kwa nini inatokea bila kupenda (involuntary control or reflex)?.

JE, HILI TATIZO NI KUBWA KIASI GANI DUNIANI?
Kwa mfano kwa Marekani peke yake robo tatu ya wanaume wote hujikuta timing inawashinda kuweza kuthibiti kukojoa mapema wakiwa na wapenzi wao.
Habari njema ni kwamba huu udhaifu hupungua jinsi mwanaume anavyoongezeka umri hivyo akikua ataacha.

JE, UNAWEZA KUTHIBITI VIPI HII HALI?
Njia kubwa ya kuthibiti tatizo la kukojoa mapema ni mwanaume mwenyewe kujijua jinsi anavyosisimka (sexual excitement level) hasa wakati wa tendo la ndoa.
Kufahamu kiwango cha kusisimka anachokuwa nacho kwa vipindi tofauti wakati wa tendo la ndoa na muhimu zaidi kujua ule wakati ambao anakaribia mahali ambapo hawezi kujizuia tena (inevitable ejaculation).

Kuwa na ujuzi (skills) za kubaki amesisimka kwa muda mrefu hadi mke wake kuridhika ndilo jambo la msingi hapa.
Hili suala linahitaji uvumilivu, ugunduzi, kujitoa na ujuzi kwani matokeo huwa mazuri sana.
Kama watu wanavyojifunza kuogelea wakaweza basi hata hili mwanaume anaweza kujifunza.
Pia ili kushinda hili tatizo mume na mke wanahitaji kushirikiana hasa kwa mke kumtias moyo mzee kwamba anaweza na kuhakikisha kila mmoja hasa mume anakuwa free kutokana na kila distractions, tensions, anxiety na hofu.
Wote kwa pamoja ni muhimu kujihusisha na maandalizi ya tendo la ndoa (foreplay) na kufurahia kila sensation ambazo kila mmoja anapata.

JE, HATUA ZAKE NI ZIPI?
Mume asiharakishe kuingie (penetrate) haraka kwa mke na hata akiingia asianze thrusting haraka baada ya kumwingia mke, chukua muda kuingia polepole na kwa hatua.
Wakati uume ukiingia kwenye uke kutakuwa na sensation tofauti na jotojoto ambalo litapelekea mume kujikuta anataka kumaliza kama aliingia kwa fujo hivyo dawa yake ni
Kuingiza uume kidogo kidogo (inch kwa inch huku una relax kwa sekunde chache kwani kila msukumo mmoja unakupa control ya kumaliza haraka.

Na baada ya kuingia mume asianze thrusting hapohapo ni vizuri kusubiri kwa sekunde chache hadi ule msisimko wa kutaka kumaliza ushuke chini katika kiwango cha kuweza kuhimili (manageable level)
Kama ikitokea wakati una penetrate au umemaliza penetration ukajikuta unataka kumaliza (ejaculate) haraka anza kupumua (breath) kupitia mdomo na pua ili kuondoa hewa kwenye mapafu kwani kuondoa hewa deep na polepole husaidia kuondoa nguvu ya kutaka kumaliza haraka.

Ukishaanza kujisikia vizuri ndani ya uke unaweza kuanza kufanya thrusting kawaida kama 4 – 5 hivi (in and out) kwa polepole na za kuvuta (long) na pumzika kwa sekunde kadhaa. Mwanaume ndiyo dereva so unatakiwa kujua hali ya hewa kwenye stick inaendaje kwa ukijisahau kwa muda mrefu stick inaweza kupoteza erection so inabidi uwe mzuri kucheza na hiyo hardware yako pia kusugua kwa break ambazo haziridhishi mke anaweza kujikuta kazi unayofanya haina maana.
Hivyo hapa suala la msingi ni unapumzika kusugua kwa sababu unapunguza excitement inayotaka kusababisha mume kumaliza mapema na wakati huohuo unaelekeza uwezo wako kuhakikisha uume unasimama kiasi cha kutosha kuendelea kumpa raha mke.
Umeelewa?

Baada ya hako ka gap sasa unaweza kusugua zaidi kama mara 6 hadi 10 hivi na kupumzika na unaweza kuendelea na kupumzika kidogo kidogo na hatimaye baadae unaweza kuendelea full gear hadi mwisho.
Ni vizuri pia kumsoma mke wako mambo yapoje ana yupo hatua gani kama na yeye amekolea basi unaweza kuamua kufika kileleni kwa wewe kwenda haraka strokes zako.

Huu utaratibu utakusaidia kuweza kupata uzoefu wa kuwa na control ya kujijua wakati gani unakuwa unakaribia point ambayo hwezi kujizuia kuamaliza.

KWA UFUPI NI KWAMBA:
Kuingia kwenye uke na kuanza kusugua (thrusting) moja kwa moja huweza kusababisha kumaliza haraka kwani uume unakuwa bado una tension kubwa.
Kusugua haraka haraka na kwa ufupi hupelekea kumaliza haraka wakati kusgua polepole na kwa urefu husababisha kuwa na control ya kumaliza mapema.
Kusugua moja kwa moja (Continuous/nonstop) iwe haraka au polepole, fupifupi au ndefu hii husababisha kumaliza mapema hivyo kusugua kwa mapozi (timing) husaidia kuwa na control.

Kufahamu point ambayo mume huweza kuwa na msisimko wa kutaka kumaliza ni muhimu sana kwa kujifunza kujua jinsi ya kuthibiti kumaliza mapema.

Ukihisi unakaribia mahali ambapo huwezi kufunga break basi pumua kwa uwezo wako wote hiyo inaweza kusababisha kupunguza sensation ya kutaka kumaliza mapema.

JAMBO LA MSINGI NI KWAMBA!
Ufanisi ya hii njia ni kwa wanandoa kujihusisha huku wakiwa huru hakuna uadui wala mgogoro wowote na kila mmoja lazima awe pleasing kwa mwenzake.
Pia ni muhimu sana kwa mke kuwa na ushirikiano kwa mume hadi atakapojua jinsi ya kuwa na control ya kutaka kumaliza mapema, anyway program nzima ni kwa faidi ya mke.

Mke anaweza kujikuta hakuna utamu wowote wa hili zoezi kwani kitendo cha mume kuwa na break mara kwa mara kinamnyima raha yake hata hivyo hii ni learning process akishajua in and out kuhusu kuwa na control kila kitu kitaenda vizuri.
Zipo njia nyingi na hiyo ni mojwapo tu!


6 comments:

Aaron justin said...

Tatizo langu mim ni kwamba kila napokaribia kumaliza nikisema nitoke au nifanye chochote kile najikuta nachelew kuna msaad wowote juu ya hil?????@

Aaron justin said...

Kuna njia nyingine tofauti ukiachana na madaw??

Aaron justin said...

Tatizo langu mim ni kwamba kila napokaribia kumaliza nikisema nitoke au nifanye chochote kile najikuta nachelew kuna msaad wowote juu ya hil?????@

Anonymous said...

Hii njia ni nzuri nimeijaribu

Anonymous said...

Nam ntajaribu kaka lkn vp kma kutumia mdalasini ukichanganya na tangawiz unakuwa unatumia kma chai muda wote asbh na jion n njia nyingine simple ya kuniweka fit au asal kila asbh na jion msaada wa mawazo kaka,chacha

william appolinary said...

kwa mda mrefu nilikua mhanga wa kupungukiwa nguvu za kiume nilikua nashindwa kusimamisha uume au kulala ukiwa katikat ya tendo au kusimama na kusinyaaa hata kabla sijaingiza ndani na kushindwa kurudia tendo nilifadhaika sana na kutaka kukata tamaa juu ya uanaume wangu nikajirbu tiba nying lakin wap ndionilipokutana na mzungu mmoja alieshaur hii kitu na kuanza utafit wa mwala mmoja mpaka tukapata formula ya uchanganyaj juis yatangawiz matunda na maji kuondoa tatizo languvuza kiume tupo kwenye mchakato wa kufungua duka la vidonge lishe na maji lishe kumbuka mchanganyiko huu hauna madhara yoyotekwa ni asili tupu no chemical natoa maelezovya formula hiyo kwagharama nafuu za elfu 29 Tu utatoa nusu then nusu utamalizia ukiona mabadirikovndab ya siku tatu ila uaminifu ni muhimu katika kumaliziahio pesa napatikana hapa0712505049
nb
kwa mwenye vidonda vya tumbo sitoweza kukuhudumi au kuzaliwa na tatizo hilo lauume kutosimama siwez kutatua shida