"Marriage is our last, best chance to grow up."

Thursday, October 8, 2009

Wanafaa sana!

Je, umechoka kusikia kuhusiana na tofauti kati ya mwanamke na mwanaume?
Ni kweli mwanaume na mwanamke wapo tofauti sana na hakuna mjadala kuhusu hili.
Wote mwanaume na mwanaume wanatabia ambazo ni negative na positive, hebu tuangalie sifa positive za mwanamke na mwanaume.

Kwanza wanawake!
Wanawake ni wanajali (caring) na wanajua kupenda (loving),
Wanawake hutoa machozi hata wakiwa na furaha,
Wanawake hufanya hata vitu vidogo vidogo kuonesha wanajali,
Wanawake huweza kusimama mahali popote kwa ajili ya kitu kile wanaamini ni the best kwa watoto wao.
Wanawake wanauwezo wa kutabasamu hata kama wamechoka, hawawezi kujizuia.


Wanajua jinsi ya kubadilisha mlo wa wa kwaida na kuwa special kwa occasion yoyote.
Wanajua jinsi ya kumfariji rafiki au mtu ambaye anaumwa.
Wanawake huleta kicheko na furaha duniani.
Wanajua jinsi wa kumliwaza mtoto kwa msaaa mengi mengi mengi mengi.
Wanawake wengi ni wakweli na watiifu.
Wanawake wengi hujikuta wanatoa machozi wakikutana na kukosa haki yao.
Wanawake wanajua jinsi ya kufanya mwanaume ajisikia ni king.
Wanaweza kwenda extra mile kumsaidia rafiki yao.
Wanawake wanawezesha dunia kuwa mahali bora kuishi.

Je, wanaume sifa muhimu ni ipi?
Wanaume wanajua kunyanyua vitu vizito na kuua spiders.

Today's Quote!
The saddest organism on earth is the unmarried man!

3 comments:

Anonymous said...

Kaka Mbilinyi pole na hongera kwa nzuri nzuri unayoifanya.swali langu liko nje ya mada ya leo.Nataka kujua zaidi katika malezi ya watoto kuna kitu inaitwa parental favouratism.iwapo mtoto mmoja anajiskia kutopendwa sana kama mwenzake au wenzake na wazazi ,inaweza ikamletea athari gani baadae.Na kwanini wazazi wengine wanakuwa na upendo zaidi kwa mtot fulani.utakuta mwingine mtoto wa baba ,mwingine yupo tu.

Anonymous said...

Ha ha ha.... Umenichekesha sana kaka Mbilinyi hizo sifa muhimu za wanaume.

Lazarus Mbilinyi said...

Asante sana kwa swali zuri,

Ukweli huwa inaumiza sana pale unakuta mtoto mmoja anapendwa zaidi na wazazi au mzazi mmoja, mimi mwenyewe najijua baba yangu ananipenda kuliko watoto wake wote ingawa mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa na tumezaliwa watoto 8 kaka 7 na dada mmoja, linapokuja suala la watoto baba yangu mimi ndo mtoto wake na huwa najisikia vibaya wakati mwingine kwani ananipenda mno, ingawa nahisi ni kama kitu naturally.

Sasa ili swali lako lijibiwe vizuri naomba nilijibu katika mada ijayo, ngoja nichambue faida na hasara zake na zaidi sisi kama wazazi tunfanye vipi kuhakikisha mtoto mmoja kujisikia anapendwa na mwingine kujisikia hapendwi.

See you soon!

Upendo daima