"Marriage is our last, best chance to grow up."

Saturday, October 3, 2009

... Yanawachanganya sana wanaume!

Wengine wanayaita "Watermelon"Ingawa matiti ni kwa ajili ya chakula cha mtoto mchanga, baba ndiye hujikuta mara zote anaishia kuchezea kama mali zake na pia wapo wanawake wengi sasa ambao hawataki kunyonyesha kabisa watoto ili kulinda matiti yao yabaki umbo lilelile ambalo wanaume wanatawafurahia virtually.
Titi ni jug la asili la maziwa ya motto ingawa huja katika size na shape tofauti na huvalishwa bra kwa design tofauti kwa gharama toauti kutokana na hadhi ya mwanamke wakati sehemu zingine duniani mwanamke hutembea kufua wazi bila tatizo.
Matiti yamekuwa yakipewa heshima (kuabudiwa na kushabikiwa) tangu enzi za zamani hata hivyo attention ambayo matiti yanapewa leo hii (information society) inashangaza na imefika mahali wanawake (hasa mabinti) wanatumia pesa nyingi ili kufanyia upasuaji kuwa na umbo ambalo wanaume wengi husherehekea wakiyaona.
Matiti yamepewa majina mbalimbali na jamii tofauti kama vile Nido, Mtindi, Jugs, Apples, Balloons, Bean bags, Boobies, Boobs, Bullets, Glands, grapefruits, quaver, hand-warmer, Hills, Headers, Lulus, Mams, Mangoes, Meatballs, Meat loaves, Melons, Milk cans, Milk shop, Mountains, Nature’s fonts, Ninnies, Nuts, Oranges, pair. Papaya, pears, Pillows, Pumpkins, Rib cushions, Sandbags, Sphere, shakers, Upper deck, Warheads, Watermelons, Yams na mengine mengi unayojua wewe.
Swali bado ni kwa nini wanaume huchanganywa sana na matiti?
Kwanza matiti huwafanya wanaume kujisikia utulivu, kuburudika, kuliwazwa, kulegezwa, kustarehe, kupoa, kupozwa, kupumzishwa na kujisikia shwari (calmness) kutokana na ulimwengu chepe, korofi, unaokwaruza na rafu, hivyo kwa matiti kuwa soft; yanayokarirbisha na hayatishi, mwanaume hujisikia yupo salama (Naongelea mke na mume hahahaha!)
Kwani tangu mwanaume akiwa mtoto, ikitokea kuna hatari au kitu chochote ambacho kinamtisha na hata kuanza kulia, alikimbia kifuani kwa mama yake kunyonya titi na kunyamaza hivyo kulindwa na kile kinachomuumiza au kukutana na ubaya wowote.

Pili matiti ni alama (symbol) ya uzazi kwa mwanamke hivyo matiti hutoa dalili kwamba huyu mwanamke anauwezo wa kuzaa na kuendeleza kizazi, kwani huwezi kukutana na msichana ambaye hajabalehe na ana NIDO za uhakika bali akishabalehe huwa na matiti ya uhakikika kuonesha yupo tayari kuzaa au kuwa na uzazi (not all the time).

Kutokana na maelezo ya Charles Darwin (Natural Selection) mwanaume hujikuta anatumia kigezo cha matiti kuchagua partner ambaye ana matiti umbo fulani bila yeye kujua, kumbe ni kuchagua partner mwenye afya na mwenye uwezo wa kuzaa.
Kutokana na maelezo ya bwana Darwn, wanaume hutiwa na kuchanganyikiwa kabisa na matiti sharp kwani ni dalili kwamba huyo mwanamke anauwezo wa kuendeleza species yao.
Tatu matiti ni ufunguo (key) kwa mwanamke kusisimka kimapenzi.
Muulize mwanaume yeyote ambaye ni mzuri kimapenzi (good lover) atakwambia kwamba matiti yana direct connection na msingi wa mwanamke kusisimka kimapenzi (libidinal zones), hivyo mwanaume anapenda matiti na anachanganyikiwa nayo kwa sababu yanaweza kumsisimua mke wake vizuri na kuwa tayari kuwa mwili mmoja.
Kwa hiyo moja ya Home Entertainment Center ya mwanaume ni matiti ya mkewe so mwanamke anayejua siri huhakikisha mume anaitumia hiyo hardware.
Nne matiti husisimua wanaume visually kwani wanaume husisimka kwa kile wanaona, matiti yaliyosimama (shape, A class) husisimua zaidi na kutoa attention kubwa kwa mwanaume, ukiacha genitals, pia matiti ni moja ya physical feature ambayo inamtambulisha mwanamke na kumvutia mwanaume (attraction).

Tano, mwanaume huchanganyikiwa na matiti kwa sababu ya msukumo wa jamii.
Kwani ni binadamu peke yao (katika wanyama wote) ambaye hutumia matiti (fondling) ili kusisimuana kimapenzi.
Magazeti, Televisions, mamodel, Catalogs, matangazo ya biashara, fashions, movies, films yote ni source ya kutangaza uzuri wa mwanamke na matiti 24/7 katika siku 365 za mwaka, mwanaume anayekutana macho kwa macho ya vyote hivi kwa nini asichanganyiwe akiona kifua cha mwanamke ndiyo maana mara nyingi wanaume wanapoongea na mwanamke huangalia kifuani badala ya usoni kwa mwanamke!
Swali la kujiuliza hivi ingekuwaje kama matiti yangekuwa hayafunikwi?
Kama masikio au pua au shingo au lips yangepata attention kama yanavyofichwa?

Binadamu ana sifa moja kubwa ya kutaka kupata kile kimefichwa;
je hii inaweza kuwa proved?
Na je, ni kweli wanaume wanastahili kulaumiwa kwa kuwa attracted na matiti ya mwanamke yeyote?
Je, matiti ni sifa muhimu kwa mwanaume kuzingatia wakati wa kuoa hasa kutokana na msukumo wa jamii, saikolojia na mvuto kimwili ili aoe mke ambaye matiti yake yatamfanya mwanaume ayasherehekee na kuyafurahia?

6 comments:

Anonymous said...

Mpenzi wangu ana matiti madogo (hand size) hata hivyo habari njema ni kwamba asipovaa bra basi raha sana kwani tumatiti twake hujichomoza na kunipa raha ajabu.
Acha tu si utani, matiti yote (size na shape tofauti) yote ni beautiful, Mungu aliumba kwa ajabu sana hivyo ujumbe wangu kwa wanawake wote ni kwamba “breasts don’t make a woman, the woman make breasts”
BA – Dar es Salaam

Anonymous said...

Ni kweli size na shape zote za matiti ni fahari kwa mwanamke, haina haja wanawake kuwaza sana jinsi wanaume watakavyofikiria kuhusu matiti yao bali ishi maisha yako na yafurahie kama yalivyo na enjoy zaidi You are unique with your breasts.
Edmonton -Canada

Anonymous said...

Jamani issue ya matiti kwetu wanaume ni shughuli nzito sana, hata hivyo sasa kuna kamtindo kwa wanawake kuonesha matiti kidesign fulani, je hiyo ni sahihi? Imekaaje hiyo?
Mdau

Anonymous said...

Hapa nina swali kwani naona kama kuna cold war kati ya mama, mtoto na mke je matiti ni mali ya nani?

Sinajina!

Lazarus Mbilinyi said...

Sinajina!

Swali lako lilishaulizwa huko nyuma ila kwa faida ya wengine ukweli ni kwamba matiti ni mali ya mwanaume (serious not kidding)soma Biblia 1Wakorintho 7:1-7).
Matiti yamo kwenye package ya mwanaume anapooa huyo mwanamke kwani watoto huwa wanakuwa bado hawajafika, watoto wakifika (kuzaliwa) mume huwa anawaazima watumie kama chakula then watoto hukua na kwenda zao na kuanza maisha yao wakati baba na mama wanaendelea na maisha yao na mume kuendelea kuburudika na mali zake hadi kifo kitakapowatengenisha.
Wanaume wenzangu mnasemaje hapo?

wanawake wengi hudhani matiti ni mali ya mtoto, it is ok je watoto wakishakua na kuwa na maisha yao si mume bado atahitaji mali zake? kwanza watoto nao watakuwa na maisha yao (ndoa zao) hata kwenda kuwatembelea lazima utoe taarifa kwanza na uruhusiwe.

Hivyo matiti ni mali ya mume kwa kuwa mke hana amri juu ya mwili wake isipokuwa mume hahahaha!
Just for fun!

Upendo daima!

Anonymous said...

shalom, kaka lazarus umenena vema.
ubarikiwe
MS GBENNETT