"Marriage is our last, best chance to grow up."

Thursday, December 24, 2009


2 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Kaka Mbilinyi na familia
Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nawatakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
Baraka kwenu

Lazarus Mbilinyi said...

Mzee wa Changamoto!
asante sana kwa salaamu zako na tulikuwa na wakati mzuri kama familia kusherehekea sikukuu ya Christmas.

Nakutakia mwaka mpya wenye mafanikio na kutimiza ndoto na malengo ya maisha yako wewe na familia yako.

Upendo daima