"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, January 15, 2010

Ndoto zingine mmmm!

Kama unaamini kuna Mungu basi ni dhahiri unaamini kwamba kuna shetani na malaika zake kama vile mapepo, majini, vinyamkela (hata wazungu wana majini na mapepo yao kama vile pornography)

MAJINI MAHABA NA NDOA
Watu wanaosumbuliwa na majini ya Mahaba huota ndoto wanafanya sex na mtu wasiyemjua kama anayeota ni mwanamke basi mumewe akishtuka atakuta mke wake ana mbegu za kiume sehemu za siri za mke wake ingawa hakufanya naye tendo la ndoa.

Pia mtu mwenye majini mahaba anaweza kuwa na mambo mengine yafuatayo:-
Kwanza uhusiano wa ndoa yaani mke na mume huwa na matatizo na mwanandoa mwenye hayo majini basi hukosa hamu ya tendo la ndoa kwa mkewe au mumewe.

Pili kama ni mwanaume basi anakosa nguvu za kiume na pia sperms zake hushindwa kusafiri hadi kufikia fertilization.
Tatu anakuwa na roho ya kukataliwa kwa maana kwamba mambo yote yanakuwa yayaendi iwe kazini, biashara nk
Nne kama ni mwanamke atakosa siku zake (menstrual cycle) na pia hukosa kushika mimba na huweza kupata fibroids (uvimbe kwenye kizazi).
Kuwa na hizo dalili haina maana ya moja kwa moja kwamba una majini issue je unaota ndoto unafanya mapenzi na mwanaume au mwanamke usiyemjua?

JINSI YA KUONDOKANA NA TATIZO HILI
Kama unasumbuliwa kuota ndoto unafanya mapenzi na mtu usiyemjua pamoja na dalili zingine kama zilivyoorodheshwa hapo juu maana yake unahitaji msaada, kwani majini huwa hayatibiwa kwa medication yoyote, wala X ray yoyote wala operation yoyote wala vipimo vyovyote vya hospitalini bali MAOMBI TU KWA JINA LA YESU.

Kwa msaada zaidi piga simu hii +255 755 850 924 uliza Dada GB

7 comments:

Anonymous said...

Bwana Yesu atukuzwe!

samahani natoka nje ya mada kdg hivi niulize swali ni vema kweli mke kumuita mumewe baba au mume nae kumuita mke mama?

Nimeshuhudia watu wengi sana wakifanya hivyo we unaionaje hiyo?

Kwa upande wangu mmmmh si vema mama ni mama bwana ana heshima kubwa sana kwako ma baba pia sasa kama mtu mmekuta mkiwa na meno 32 leo unamuita mama na mama yako utamuitaje?
Mbona kuna majina mengi tu ya kumuita mume au mke wako?

Naomba uwaeleze zaidi ni aje hapo?

Mama P!

Lazarus Mbilinyi said...

Mama P.
Asante kwa swali zuri. Nimeona wanandoa wengi wanaitana baba na mama kitu ambacho wao wanaamini ni kupeana heshima. Hata kama kila ndoa ni tofauti ukweli ni kwamba majina au sifa zingine tunazopeana huumba na kufanya mtu awe hivyo sana na kumpa mtoto jina kama vile "Shida" "Mateso" Tulanzuma (Kibena)" nk Hayafai hata kidogo!
Sasa kumuita mume Baba atakuwa baba kweli na kumuita mke mama atakuwa mama kweli na ukose raha zote.

Naamini jambo la msingi ni mke na mume kuitana majina yenye sifa (sijasema kuitwa baba au mama si sifa)

Hata hivyo bottom line ni kwamba inatokana na wanandoa wenyewe wanajisikia vipi namna ya kuitana.

Mama P huwa unamwitaje mume wako?

Anonymous said...

Wooooooo!

Napenda na huwa nafurahi sana kumuita mume wangu King sometimse Mr ilimradi tu ila yeye ananiita jina langu tuu kwa vile eti hapendi kuita Queen kwa sababu kuna watu hilo ndio jina lao na kwa vile lina herufi 4 aaaaaah poa tu

Anonymous said...

honey , dear, sweety mpenzi ni majina mazuri zaidi,

GBENNETT

Lazarus Mbilinyi said...

Mama P,

Hapo umeongea ni kweli mumeo ndiye King, raha sana.

Jina unalotumia kumuita mume wako au mke wako unapotamka unaumba, ukimwita mpenzi anakuwa mpenzi kwelikweli na ukimwita baba anakuwa baba na ukimwita King anakuwa King kwelikweli na nyumba yako itabarikiwa!

Upendo daima

Lazarus Mbilinyi said...

GBENNETT
Upo sahihi ni raha sana kumsikia mume wako au mke wako akikuita vimajina vizuri kama hivyo kwanza inaonesha anakujali na kukupenda.

Upendo daima

Unknown said...

Nimeyapenda mawazo yenu mungu awabaliki sana