"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, February 26, 2010

Mwambie!

Kuongea suala la tendo la ndoa (sex) katika ndoa au kwa mume wako au kwa mke wako ni moja ya topic ngumu sana chini ya jua au katika uso wa dunia.

Kama utakuwa na maongezi au mawasiliano kuhusiana na suala la sex katika ndoa yako maana yake mtakuwa wazuri katika hiyo department.

Wanandoa wengi ambao wamekuwa na tabia ya kuongea kuhusu maisha yao ya sex kwa uhuru na ukweli wamekuwa na maisha mazuri chumbani kwako kwani si rahisi kufahamu mwenzako anahitaji kitu gani hadi umwambie.

Kuwa wakimya kuhusiana na kuongea kuhusu sex na mke wako au mume wako husaidia kuwa wajinga zaidi na wakati mwingine kutoridhishana sawa na uhitaji wa mwili wako au feelings zako.

Hatari kubwa zaidi ni pale wanandoa wanaposhindwa kuongea wenyewe na matokeo yake kutoridhika na kutoridhika ndiko husaidia kukwetua njia ya mmoja au wote kuanza kuangalia nje (kuchepuka)

Firikia wewe ni mwanamke una vitu mume wako akifanya basi huwa unajisikia kusisimka na mwili kuanza kutoa kuwa juicy na kutamani sana sex na mume wako.

Kwa nini usiwe huru ukamwambia kwamba unapenda iwe hivi:

Mwambie!

WAKATI NIMESISIMKA

Natamani mume wangu uwe na wewe unatoa sauti au na wewe uwe unaongea,

Napenda uwe unaongea maneno matamu ya kimapenzi,

Napenda mume wangu nini unakipenda kwenye mwili wangu,

Napenda uniguse (touch) na kunichezea namna hii (onesha),

Napenda ufanye hivi kwenye chuchu na matiti yangu,

Napenda unitazame usoni,

Napenda unichezee kisimi namna hii (mwambie unapenda afanye kwa kutumia nini na namna gani)

Napenda ufanye hivi kwenye G- spot,

Napenda kuchezea uume wako hivi nk

WAKATI WA SEX

Napenda na wewe uwe unaguna na kutoa sauti za kimahaba au uongee maneno matamu na elezea namna unafurahia au unajisikia kuwa ndani yangu,

Napenda uendelee kunibusu namna hii,

Endelea kusisimua kisimi changu namna hii (eleza kwa kutumia nini)

Natamani tunapoanza tuanze kwa mlalo huu na baadae tumalize kwa mlalo (love making position) hii,

Natamani uanze kwa kasi au msuguano wa polepole na baadae haraka zaidi namna hii,

Nioneshe kama na wewe unafurahia,

Nk

UNAPOFIKA KILELENI

Napenda upunguze kasi na kuniacha au napenda uongeze kasi unapoona nakaribia kufika kileleni,

Napenda unikumbatie na kunibusu nk

BAADA YA KUMALIZA SEX

Napenda sana uendelee kubaki ndani yangu hadi tulale usingizi nk,

Napenda unikumbatie huku tunalala,

Napenda angalau mkono wako au mikono yako ibaki mwili mwangu huku tunalala,

Natamani tuendelee kupiga story,

Natamani uendelee kunibusu.

Kumbuka huu ni mwongozo tu kwani kila mwanamke ana mahitaji yake kutoka kwa mume wake jambo la msingi ni kwamba jisikia huru kuongea na mume wako nini unahitaji kabla, wakati na baada ya sex.

Usisubiri eti utafaidi sana sex baada ya kumaliza kusomesha watoto au hadi mfanikiwe maisha au hadi umalize miradi Unafanya kwani itafika Mahali utakuwa na pesa na muda ila energy huna, kalaghe baho!

Maisha ni sasa!

10 comments:

John Mwaipopo said...

kaka mafundisho yako baab kubwa. endeleza.

Lazarus Mbilinyi said...

Kaka,

Asante kwa kunitia moyo, hakuna jambo muhimu kama yule unayempenda anapojisikia fahari kwa namna unavyompenda kimwili, kiroho na kihisia.

Upendo daima

Anonymous said...

Dear Lazarus
This is good, endelea kuelimisha wanandoa, labda zipo zitakazonusurika kwa ushauri wako.

Anonymous said...

bravoooo brother lazarus
ubarikiwe mpaka ulie machozi ya furaha
MS GBENNETT

Anonymous said...

MS GBENNETT

Asante sana, yaani nimebarikiwa na machozi yanatiririka tu kama mvua za Elnino!

Alphany Clever said...

Duh

Anonymous said...

Asante sana kwa mafundisho mazuri sana naomba utoe darasa kwa wanaume wanaopoteza nguvu za kiume unakuta mnafanya tendo la ndoa mnaandaana vizuri ila akiingia tu ukeni dakika tano haziishi ameshafika kileleni na hawezi tena round ya pili mpaka kesho tena na style ni hiyohiyo unamshauri mtu wa namna hiyo ale nini au atumie njia gani hadi amridhishe mkewe

Anonymous said...

Asante sana kaka

DJMaisha said...

NimekuelewA sANA MKUBWAAAA MERCI BCP

Anonymous said...

THANKX BRO