"Marriage is our last, best chance to grow up."

Thursday, February 11, 2010

Ni siku moja tu!

Hutamani kurukia kila kinacho "move" Namna unavyopenda kuwa treated au kuwa touched au needed kimapenzi na mume wako huendana na mabadiliko ya hormone katika mwili wako katika mzunguko wa siku 28 (menstrual cycle).

Kutokufahamu au kufahamu namna mzunguko wa mwanamke ulivyo huweza kuathiri au kusaidia kufahamu namna au kiwango cha kujihusisha na kufurahia tendo la ndoa (sex)

Baada ya mwanamke kumaliza mzunguko wake (yaani siku ya kwanza baada ya damu kukoma), estrogen hupanda juu (zalishwa kwa wingi) ili kutengeneza mazingira mazuri kwa sex.
Cervix huwa soft, lubrication kwa wingi kwenye uke ili kuhakikisha kuna platform nzuri kwa mwanamke ku-enjoy sex na kufika kileleni.

Siku ya 14 huwa ni peak ya ovulation na yai huanza kusafiri kwenda kwenye fallopian tubes.
Wakati huu estrogen na testosterone zinakuwa katika kiwango cha kutosha na hivyo kuwa na libido ambayo hukuelekeza kuwa na siku ambayo unajiona upo “horny” hamu kubwa ya sex kiasi cha kutamani kurukia kila kitu unachoona kina move.
Tendo la ndoa katika siku kama hiyo na mume mwanamke hujiona yupo “wild” hata kama ni deep thrusting kwake ni raha kwani uke huwa mfano wa “baby making love machine

Baada ya ovulation, progesterone huwa released, hufunga damu na husababisha yai kujishika kwenye kuta za uterus na uke huanza kubadilika kutoka juicy na kuwa mkavu.

Mwanamke kuwa makini na mzunguko wake maana yake anaweza kufahamu namna ya sex anayohitaji kutoka kwa mume wake.
Je, ni ile wild pale anakaribia ovulation au ni ile tender na polepole pale anakaribia MP au baada ya MP?
Kwa maelezo zaidi soma hapa

No comments: