"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, February 5, 2010

Punguza mwendo!

Ni kama ua hivyo handle with care!
Unachotakiwa kujua ni kwamba inches mbili za kwanza kwenye uke wa mwanamke ndiyo ina hold raha ya sex kwa mwanamke (ni sehemu yenye nerves za raha ya sex kuliko ndani ya uke.

Na kuna factors 3 muhimu za kuzingatia
MWENDO
Lazima ziwe katika kipimo ambacho mwanamke anaweza kujisikia (feel).
Wanaume wengi hufanya makosa ya kwenda kwa nguvu kama mbio za hasira.
Hii ni kupoteza muda wakati kingine otherwise iwe imefanywa for right time.
Kwa wanawake wengi isipokuwa muda mfupi kabla ya kufika kileleni suala la kutumia miguvu ni style ambayo huwaacha katika maumivu na boring kwani kawaida kwani hakuna feeling za utamu wa tendo hupati.
Ngozi huweza kubeba feelings za sex mara 10 zaidi iwapo mwanamke atakuwa anasisimuliwa polepole (slower rate)
Kufahamu siri hii kutaweza kukupeleka mbele zaidi na kukufanya mwanaume lovable kutimiza kile mke wako anahitaji.

Kumbuka ngozi yetu kama wanaume linapokuja suala la sex (uume) ipo nje na kavu ukilinganisha na mwanamke ambaye organs zake zipo ndani, wet na zipo nyororo (tender) kama ua la roses.
Huhitaji kuwa genius ili kufahamu jinsi unaweza kusababisha maumivu bila kwenda polepole.
Jinsi mwanaume anavyoumia ikipigwa teke kwenye balls (testicles) ni sawa na mwanaume huumia wakati mwingine mwanaume akiwa rough ndani ya uke.
Weka akilini kwamba muda wote unapomuingia mke wako unatakiwa kuwa na movement polepole hatua kwa hatua kama vile unawasha moto ili aweze kupata feeling kwenye ngozi yake.
Hivyo hata kama ni ile ya Quickie au whole night mwanaume kumbuka kuwa passionate na loving huku ukiwa na self control kuhakikisha skin on skin ipo tender.

Iangalie sex kama riadha kwa kuanza polepole na baadae unaongeza mwendo kidogo na mwisho mwenda wa kufa mtu na kushinda hizo mbio.
Exception ya hii kanuni ni pale tu mwanamke anapokuwa ana nyege kuliko kawaida (very hot, wet, loose) na ana ugulia kwa hamu au kiu ya sex hivyo inabidi amalizwe kiu haraka iwezekanavyo.

PEMBE YA KUINGILIA
Angle muhimu kwa ajili ya kumpa raha na ridhiko katika kiwango cha juu kwa mwanamke kwanza ni muhimu kwa uume kucheza kiasi cha inches 1-1/2 hadi 2 ndani ya uke.
Pia fikiria mke wako amelala chali na wewe unamwangalia akiwa mbele yako na ukachukua saa na kuiweka juu ya uke wake basi pale inaonesha 12 (12 o'clock) ndipo kwenye vaginal orgasmic trigger.

Ili kumsisimua kiwango kinachotakiwa unahitaji ufahamu wa hili eneo na pia angle ambayo mwanaume anatakiwa thrusting.
Ndiyo maana love making position nzuri ni ‘Doggy Style', huu mlalo ni fantastic kwa sababu
Kwanza mwanaume anapofanya thrusting uume hugusa moja kwa moja kwenye vaginal trigger (G-spot)
Pili huwaruhusu mwanamke na mwanaume huwa huru kujielekeza kule kunasisimua zaidi, pia mwanamke anaweza kusaidiana na mwanaume kuwa na movement za mzunguko (circular) kwa mwanamke kuzungusha kiuno (hips) kutoka upande wowote chini, juu, pembeni au vyovyote anataka.
Tatu kunakuwa na uwezo wa kuthibiti kiasi gani uume uingie (deep or shallow)

Faida kubwa ya face to face ni kwamba inakuwa rahisi kwa mke na mume kubusiana na hii ni factor ambayo inatakiwa isichukuliwe kwa mzaha hasa pale anataka kufika kileleni.

KINA
kichwa cha uume hakikuumbwa kwa ajili ya kuweza kuingia (penetration) kirahisi au kwa ajili ya mwanaume kufurahia sex bali kwa ajili ya kumuwezesha mwanamke kufurahia tendo la ndoa (awe crazy).

Hivyo basi kuingia kwako ndani yake kunatakiwa kuwa kitu kizuri kwake kujisikia.
Kuna baadhi ya wanawake huwa ngumu sana kufika kileleni kwa uke kusuguliwa na uume hata hivyo kama mwanaume anajua namna ya kutumia tool yake basi anaweza kuondoa hivyo vaginal climax barrier.

Kuanza kwa strokes za kwanza very slowly na shallowly!
Hii husaidia kwani mwanamke huhitaji kuingiliwa slowly, tenderly kama ua linavyofunguka asubuhi wakati wa kiangazi.
Kufungua kwa haraka huweza kusababisha ua kukauka (wilt)
Kuwa na haraka kuingia huweza kumuumiza hivyo kabla ya kuiingia ni vizuri kutumia kichwa cha uume kusugua polepole eneo zima kuanzia juu kwenye kisimi hadi urefu wote wa uke kwa nje.
Waingereza huita ni style ya “Sausage & Bun" au nah ii ipo designed kwa ajili ya kuwafikisha keleleni wanawake ambao hufika kileleni kwa njia ya kisimi tu.

Baada ya hapo unaweza kuwa na penetration ndani kidogo hata kama anakuomba uingie zaidi kwani wewe ndiye kiranja wa hicho kipindi si yeye.

Polepole ongeza kuingia ndani hadi mwisho na hapo unaweza kuongeza speed kwa kadri unavyojisikia na bila kusahau skills za kujizuia usimalize mapema.

Ukihisi anataka kufika kileleni unaweza kupunguza moto au kuchochea zaidi in full speed huku ukiwa na movement za aina tofauti.
....................Weekend njema!.............

3 comments:

Anonymous said...

Hii mada imenisisimua kweli nahamu kama nitoroke kazini nimuwahi mume wangu.
Asante kaka kuna kitu nimejifunza leo hapa!

Basil said...

kaka umenijenga sana kwa hii mada yako ya leo,yani sijaona dosari... keep it up men!!

Lazarus Mbilinyi said...

Basil,
asante sana kwa comments maana kwa auditor wa uhakika kama wewe akisema "sijaona dosari" maana yake kazi imekubalika na ipo katika kiwango kinachotakiwa.

Upendo daima!