"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, February 15, 2010

Una ufahamu......

Ulivyokuwa unajifunza kuhusu sex kwa mara ya kwanza inawezekana ulijiona una ufahamu mkubwa sana hata hivyo unavyozidi kuishi na mume wako au mke wako unazidi kuwa na ufahamu mkubwa zaidi na hatimaye unakuwa the best lover.

Ulijifunza kwamba sehemu muhimu sana kwa ajili ya sex ni kufahamu sehemu ambazo katika mwili husisimua zaidi na kumfanya mpenzi wako kuwa hot (erogenous zones) na naamini unajua sehemu maeneo makubwa matatu ni Matiti, uke (clitoris, G-spot, vulva) na uume.

Kama wewe ni mwanamke umejifunza kwamba ili mwanaume afurahie sex ni muhimu sana umuhudumie kwa kuchezea fimbo yake (rub) na ikiwezekana oral sex.

Kama ni mwanaume umejifunza kwamba ili mwanamke afurahie sex ni muhimu sana unaanza kwa kumbusu (first base) ndipo uendelee kwenye matiti/chuchu (second base) na kama wewe ni mwanaume unayejali basi safari yako huendelea hadi chini (vulva area) na unampa bonus ya kuhudumia kisimi (third base) na baada ya enough pleasure au hata kufika kileleni kwa kuchezeana tu unaweza kuhamia kwenye “Main event” “Grand finale” ya penis-vagina intercourse (home run game)

No comments: