"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, April 30, 2010

Kiungo Kimoja tu!

Kwa mwanamke, raha anayopata kutokana na kufanya mapenzi (sex) na mume wake ni muhimu sana katika kukupa faraja na kuendelea kuwa na uhitaji wa sex mara kwa mara na mumeo.

Tafiti nyingi (mfano WebMD, DrPhil) zinaonesha kwamba ni asilimia 50 -75 ya wanawake hawawezi kufika kileleni kwa njia ya kawaida (vaginal stimulation).

Hii ina maana uume kuwa ndani ya uke na kuendelea na misuguano ya kuingia na kutoka kwa kila kona na pembe bado ni vigumu kwa mwanamke kufika kileleni.

Hii haina maana kwamba mwanamke huwa hapati raha ya kimapenzi bali kiwango cha raha (enjoyment scale) ni ndogo ukilinganisha na mwanamke ambaye katika tendo la ndoa huwezeshwa kufika kileleni (orgasm).

Je, siri ipo wapi?

Siri ipo katika kiungo kimoja tu ambacho kinapatikana katika mwili wa binadamu ambapo huwa na nerves nyingi kuliko kiungo chochote katika mwili wa binadamu (mwanaume na mwanamke) yaani kisimi/kinembe/clitoris.

Pia ni jambo linaloshangaza sana kwani kuna wanaume wengi na wanawake wengi (wamo madaktari, mainjinia, wabunge, mawaziri, marais, mashujaa mbalimbali, wachungaji, matajiri, maskini, wanaoishi mijini, wanaoishi shambani, wazungu, waafrika nk) hawaijui chochote kuhusiana na umuhimu wa hiki kiungo katika suala zima ya raha ya sex.

Bottom line ni kwamba wanawake wengi huhitaji kusisimuliwa kisimi/kinembe kwa kila aina ya sanaa (manually & orally) kabla na wakati wa tendo la ndoa ili aweze kufika kileleni.

Mapenzi ni sanaa na kwa kuwa ni sanaa hivyo kuna tips nyingi tu za mke na mume kusherehekea raha ya mapenzi hata hivyo kwa leo tuishie hapa.

3 comments:

Anonymous said...

habari
Nimekuwa nikisikia mara nyingi umuhimu wa kinembe katika mapenzi,na kweli mume wangu amekuwa akijitahidi sana nami nasikia raha
tatizo lilikuja baada ya mimi kujifungua ni kama kimekatika kidogo na akinishika kuna muda nasikia raha lakini muda mwingine maumivu,tulipoenda hospital walisema hawawezi kushona pataziba penywewe lakini sasa ni miezi sita hakuna mabadiliko
NIFANYEJE ILI KUUPATA ULE UHONDO MAANA KWA SASA NAUKOSA
KAZI NJEMA

Anonymous said...

habari
Nimekuwa nikisikia mara nyingi umuhimu wa kinembe katika mapenzi,na kweli mume wangu amekuwa akijitahidi sana nami nasikia raha
tatizo lilikuja baada ya mimi kujifungua ni kama kimekatika kidogo na akinishika kuna muda nasikia raha lakini muda mwingine maumivu,tulipoenda hospital walisema hawawezi kushona pataziba penywewe lakini sasa ni miezi sita hakuna mabadiliko
NIFANYEJE ILI KUUPATA ULE UHONDO MAANA KWA SASA NAUKOSA
KAZI NJEMA

Lazarus Mbilinyi said...

Hongera sana kwa kufahamu umuhimu wa hiyo territory.
Kama kuna wakati unajisikia raha sana basi inabidi uchunguze pamoja na mume wako huwa anatumia pressure (mgandamizo kiasi gani) au anafanyeje hadi ujisikie raha na pia anafanye vipi hadi unajisikia tofauti, mkishafahamu anafanya namna gani kukupa raha na anafanya namna gani unajisikia kuumia ndipo utafahamu na mfumo upi (anapokusugua direct au kwa kupalaza na namna zingine ambazo wewe unaweza kujisikia raha) ndipo itakuwa rahisi kwenu pamoja kujuana ni namna gani ahudumie hicho kiungo kikupe uhondo kwani kutokana na kupata matatizo (katika) wakati wa kujifungua inawezekana inabidi na ninyi mu-adapt namna mpya ya kufurahishana hiyo sehemu)
Ukiona hakuna kitu nitumie email kupitia lazarusmbilinyi@gmail.com

Upendo daima