"Marriage is our last, best chance to grow up."

Saturday, May 15, 2010

“The bedroom is the foundation of marriage and family; while the marriage bed is an altar”


3 comments:

Anonymous said...

Ni kweli bila kuomba ndoa hakuna maisha hakuna hiyo ndo nguzo yetu.

Anonymous said...

maombi ni muhimu hasa wote mkiwa nalengo moja kuna wengine mama unaomba mwenzako anajifanya yuko busy na computer,inaumiza

Lazarus Mbilinyi said...

Kama yupo busy na computer si ukae naye na kuongea naye ili kufahamu namna gani mnaweza kupanga muda na kuutumia kwa kadri wewe unavyotaka. Mwanaume hawezi kusoma mind anasoma magazeti.