"Marriage is our last, best chance to grow up."

Thursday, May 20, 2010

Love .... Heart!

Ms. Hawa N.
Dar es Salaam - Tanzania

For every love there is a heart somewhere to receive it....

But when my love meets no

heart it can only break.

8 comments:

Anonymous said...

mh!najikisia kucheka tu,kupendwa raha sana,

Anonymous said...

NI MREMBO SANA,AMEOKOKA?AMEOLEWA?

Anonymous said...

KAKA,NAONA SASA UNATUJARIBU,MAANA HIVI NI VISHAWISHI,NI MWANAMKE ANAONEKANA KATULIA,BRIGHT SANA,INTELLIGENCE,HUYU MUNGU KAMA NI UTUKUFU BASI AJICHUKULIE MWENYEWE,TUNAOMBA FULL PICTURE TUENDELEE KUMRUDISHIA MUNGU UTUKUFU,HONGERA KAKA MKUBWA ULIEINGIA MKATABA NAYE MAANA NATAMANI NAFASI HIYO NINGEIPATA NAAMINI HATA MUNGU ANGEFURAHI MAANA NAJUA NINGETENDA MEMA KWA KIUMBE WAKE.MTOTO MZURI HUYU BWANA,USO TU UNAKUITA,HALAFU KAOKOKA.

Anonymous said...

asante Kaka Mbilinyi,asante kwa kutuburudisha,mimi nina ombi moja,naomba uniwekee picha ya huyu dada nzima,unajua Mungu ana watu wengi sana,kuna wengine anawaficha wapi,ukiwa unatafuta mke huwaoni,ukioa Mungu anafunua vilivyovyake katika hazina.Mungu akubariki dada,wewe ni mzuri sana,umrembo,asante mzee maana leo umetupa uhalisia,

Anonymous said...

mimi dada pamoja na sifa zote,ni kweli wewe ni mwanamke mwenzangu,lakini nakupongeza kwani chocolate colour,nimkupenda kwa sababu huo uso unaonesha hauchuburiwi,warembo wengi kama wewe hapa dar wanapenda sana cream,hongera naomba usimamie msimamo wako,rangi kama hivi adimu wanawake huwa hatujiamini ndio maana tunajiharibu tukidhani tunajiweka sana,hongera binti,una mvuto sana,unaonesha umsafi sana.

Anonymous said...

kabinti karembo na kasafi,kameokoka,mh!hofu yangu mchungaji wake maana!

Lazarus Mbilinyi said...

Kaka,

Pole sana, nitamuuliza kama anaweza kutoa picha nzima (siyo hiii passport size) sijajua kama atakubali.

Hata hivyo inatafuta kitu gani kwenye full picture kwani nimekwambia ameshapata mchumba na wanajiandaa kuoana.
Nahisi umewaza hadi umefika mbali, hata hivyo kama hujaoa ni busara sana kuwa mvumilivu kwani makanisani (watu waliookoka) kuna mabinti warembo kibao na wanampenda Yesu na ni excellent marriage material, swali Je, wewe nawe umeokoka?
Kwani kama hujaokoka usitegemee kumpata binti mrembo aliyeokoka kwani ukiona amekubali kuoana na wewe hujaokoka ujue umebeba mzigo mzito wa ajabu kwani binti mrembo aliyeokoka hata siku moja hawezi kukubali kumpoteza Yesu wake kwa kuolewa na mwanaume ambaye hana Yesu,
Anyway, ubarikiwe sana!

Lazarus Mbilinyi said...

Ni kweli,
Dada ametulia na urembo wake ni natural.