"Marriage is our last, best chance to grow up."

Wednesday, May 19, 2010

Je, Kuna Ladha Tofauti?

SWALI:

Mimi ni dada mwenye umri wa miaka 25, sijaolewa bado na napenda kufahamu je, kuna tofauti gani kati ya mwanaume ambaye ametahiriwa na yule ambaye hajatahiriwa linapokuja suala la tendo la ndoa?

JIBU:

Asante kwa swali lako.

Mara nyingi suala la kutahiri limehusiana sana na suala la usafi na imani za dini hata hivyo katika nchi zilizoendelea kumekuwa na harakati za kuzuia kuwafanyia watoto wa kiume hadi wakiamua wenyewe wakiwa wakubwa.

Tunapokuja kwenye suala la sex ni kweli kuna tofauti kati ya mwanaume aliyetahiriwa na yule ambaye hajatahiriwa.

Mwanaume aliyetahiriwa kawaida huwa hana wasiwasi kuhusiana na suala la usafi wa govi (foreskin) kwani hana; wakati yule ambaye hajatahiriwa ni lazima ahakikishe anakuwa na special care kusafisha ndani ya govi lake ili kuepuka harufu mbaya na kujengeka kwa uchafu ambao huweza kutengeneza mazingira mazuri ya kuwa kituo cha bacteria na viumbe wengine ambao wanaweza kuathiri sexual health.

Uume ambao umetahiriwa huweza kutoa msuguano mzuri ndani ya uke wakati wa tendo la ndoa kwani baada ya govi kuondolewa uume huwa na aina ya tuta ambalo wakati wa msuguano huleta raha kwa mke na mume.

Ndiyo maana wanawake wengi hupenda mwanaume ambaye ametahiriwa.

Kwa maelezo zaidi soma hapa.

No comments: