"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, June 7, 2010

Asubuhi na Mapema au Usiku!

Ukiwauliza wanaume wengi wakwambie wangependa sex wakati gani wapo watakaosema usiku wakati kulala, na wengine watakwambia asubuhi na wengine watakwambia muda wowote.

Hata hivyo wanawake wengi watakwambia wanapenda sex wakati wa usiku wakati wa kwenda kulala.

Moja ya tofauti katika ya mwanaume na mwanamke linapokuja suala la sexuality katika ndoa ni kwamba wanaume hupenda sex asubuhi na wanawake hupenda hekaheka za kitandani kuwa wakati wa kwenda kulala (usiku).

Hata hivyo kuna jambo moja hutokea kwa mwanaume yeyote rijali usiku akilala huweza kusimamisha Mr, Happy wake zaidi ya mara tatu na ile asubuhi anapoamka hujikuta Mr. Happy wake amesisimama na kuwa tayari kutroti, wengine wanaita “morning wood” au “morning glory

Kitaalamu hiki kitendo hujulikana kama NPT (Nocturnal Penile Tumescence)

Hivyo mwanaume kuamka asubuhi huku akiwa na “morning wood” ni sababu tosha ya kulianzisha asubuhi.

FAIDA ZA SEX ASUBUHI:

Ina relax na njia moja ambayo ni inafurahisha kukuamsha ni njia nzuri ya kuamshana kuliko kuwa na alarm.

Kwa kuwa akili na mwili huwa bado unalala ina maana sensetion kimwili zitakuwa na raha sana na homoni zinazozalishwa huwa na matokeo mazuri kuliko kikombe cha kahawa.

HASARA ZA SEX ASUBUHI:

Kwa kuwa hakuna muda wa kutosha hii hupelekea kutokuwa na maandalizi ya kutosha (foreplay) na matokeo yake huishia kuwa ni quickie kitu ambacho huweza kusababisha mmoja kuwa frustrated na hata kuchelewa kazini.

Kwa kuwa wanawake wengi huhofia vile wanaonekana matokeo yake ule mwanga wa asubuhi inaweza kuwa kikwazo kwa suala zima.

Kama si mtu wa kuamka mapema basi kwa sex asubuhi unaweza kujikuta unachoka mno na siku inakuwa mbaya kwako.

FAIDA ZA SEX JIONI:

Ni njia bora ya kumaliza siku kwa tabasamu.

Kwa kuwa unatakiwa kuamka asubuhi sex usiku haina haraka.

Usiku ni perfect time kuwasha candles na kutengeneza sexy mood na hata mkimaliza ni ruksa kulala fofofo hadi asubuhi.

HASARA ZA SEX JIONI:

Unaweza kuwa umechoka sana na kazi kwa siku nzima na ukashindwa kuwa na mood kwa ajili ya sex.

Wakati mwingine kujihusisha na sex jioni husababisha kuchelewa kupata usingizi hasa kama mambo hayakwenda sawa.

Kama huwa unachelewa kulala maana yake utachelewa sex na matokeo yake utaamka asubuhi umechoka.

Bottom line ni kwamba Mume na Mke wanatakiwa kukubaliana na kusaidiana kuwa flexible kupeana muda ambao kila mmoja utamfanya ajisikia vizuri na raha kushiriki tendo la ndoa ili kurekebisha tofauti zilizopo za mmoja kupenda asubuhi na mwingine kupenda usiku wakati wa kwenda kulala.

Kwa maelezo zaidi soma hapa

No comments: