"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, June 18, 2010

Huongeza Hamu!

Tafiti nyingi zinaonesha kwamba kufanya mazoezi ya kawaida huongeza kiwango cha homoni za endorphins ambazo huhusika na kuongeza intensity ya kusisimka kimapenzi (sexual arouse).

Ile kujisikia upo fit kimwili hukusaidia kujisikia mzuri zaidi na pia husaidia kukupa mood ukiwa chumbani.

Hata hivyo kuna limit ya mazoezi kwani ukifanya mazoezi magumu zaidi yanayopitiliza kiwango kama vile mkimbiaji wa marathon au kuendesha bicycle kwa muda mrefu (kwa mwanamke husababisha kuwa na clitoral dumbness –kisimi kupoteza uwezo wa kusisimka tena), kwa pamoja haya mazoezi huweza kukufanya uchoke na kushindwa kuwa na hamu ya tendo la ndoa.

Hivyo mazoezi ni muhimu lakini yasiwe ya kuzidisha!

No comments: