"Marriage is our last, best chance to grow up."

Saturday, June 26, 2010

Wanawake tu, ... (mwisho)


Mama mmoja alikuwa anamuogesha mtoto wake wa kiume wa miaka 4 alishangazwa na maelezo ya huyo mtoto pale alipomwambia mama yake
“Mama Unajua nampenda sana mdudu wangu (ka Mr. Happy kake)”
Huku ameshika na kumuonesha mama yake bila wasiwasi.
Kwa aibu mama yake akaanza kutoa maelezo ya ziada zaidi kuhusiana na anatomy ya mwili wa binadamu kwa kumwambia mtoto
“Ni kweli Mungu ametuumba na ametupa mikono, vidole, magoti, masikio, pua na miguu na kila kiungo kina umuhimu na maana katika mwili”.
Yule mtoto hakujibu chochote wakati mama yake anaongea na baada ya mama kumaliza maelezo yake mtoto akaendelea kusisitiza kwamba
“Lakini mama, bado mimi napenda sana mdudu wangu”
Kuna vitabu vinaeleza kwamba “the man’s best friend is a dog, si kweli, ukweli ni kwamba rafiki wa kweli wa mwanaume ni Mr. Happy wake ambaye urafiki (bonding) huanza mapema tangu mtoto.
Na kila siku inayopita duniani ni lazima amshike kwa mikono yake si mara moja tu bali zaidi ya mara moja na si kushika tu bali kumuona kwa macho yake.
Sidhani kama kuna mwanaume ambaye kila akienda “for peeing” huwa hashiki au kumuona Mr. Happy wake.
Kama tunavyomwita Mr. Happy kwa maana kwamba yeye hufurahia kila siku na kutabasamu kila wakati bila kujali jana au juzi alihudumiwa vipi, kama ni mke au mke mtarajiwa lazima ufahamu kwamba unahitaji kuwa comfortable kuwa naye na si kuwa naye tu bali kumfahamu namna anatakiwa kuhudumiwa ili kumridhisha mume wako.
Hata kama kuna wanawake Wachache ambao siku ya kwanza ya kuona genitals za waume zao hukiri kwamba ni kweli hawajawahi kuona kitu ugliest katika maisha yao kama hapo kwenye residency ya Mr. Happy.
Hata kama ni kweli ni vizuri kuwa siri yako wewe mwenyewe mwanamke kwani na huko south pole kwako si kupo ugly pia.
Ngoma droo!
Kama mume wako ni kijana wa miaka ya 20+ au 30+ inawezekana Mr. Happy kila akikuona half naked au hata kupanda tu kitandani yeye hukuinulia salute kirahisi, ukweli ni kwamba namna mume wako anavyozidi kuongeza umri maana yake utahitaji kazi zaidi ili akupe the same salute haraka haraka.
Pia tukumbuke kwamba wanawake wengi wanapoolewa huwa hawapewi Manual au sexual instructions ya namna ya kumhudumia Mr. Happy ni vizuri sana kukumbushana.
Kwa wale wa darasa la kwanza ni vizuri kufahamu kwamba Mr. Happy ana maeneo tofauti ambayo huwa sensitive kuliko eneo lingine.
Maeneo ambayo yupo sensitive ni upande wa chini ya shaft na kichwa, ni vizuri sana kumpa attention ya ziada kwenye michirizi (ridge) ya chini ya kichwa kwani kuna eneo ni sensitive kuliko kawaida kama likihudumiwa vizuri (both manual and orally) kwani ukimpatia unaweza kuona mume wako anaruka na kugonga dali (ceiling).
Mr. Happy amezungukwa na sensors za kila aina, stroke tofauti kwenye shaft huweza kumpa mume feelings za ajabu kiasi cha kumfikisha kwenye msisimko wa uhakika. Unapojikita kwenye maeneo ambayo ni more sensitive maana yake anaweza kufika kileleni haraka zaidi. Mwanamke anayefahamu kumhudumia Mr. Happy anafahamu namna ya kumfanya Mr. Happy kusimama (aroused) bila kumfikisha kileleni.
Jambo la msingi ni kufahamu namna ya kumpandisha hadi karibu na kilele cha mlima na kumrudisha tena ground zero over and over kwa strokes tofauti, touch tofauti, caresses tofauti iwe polepole, haraka haraka, nyepesi au nzito vyote humpa uhondo mume wako.
Kuna wakati mume wako atahitaji direct stimulation na kuna wakati atahitaji indirect stimulation kwani ikienda kinyume chake anaweza kumaliza mapema na wakati mwingine Mr. Happy hufanya yale ambayo hakutumwa kama vile kuamua kwenda kulala mapema kabla ya muda.
\jambo la msingi ni wewe mke wake kufanya ugunduzi ili kufahamu namna mwili wa mume wako unavyofanya kazi, si mke tu ambaye hufurahia kukunwa mgongo au mguu au kichwani hata mume pia.
Ubarikiwe.

3 comments:

Anonymous said...

Inafurahisha sana kwamba mwanaume tangu mtoto anakuwa tofauti kuhusu sex. Nimekipenda hiki kipande "mama naipenda dudu yangu"
Kazi kwelikweli.
asante nimejifunza mengi sana ambayo sikufahamu kuhusu mwanaume.

Ubarikiwe na Bwana

Anonymous said...

mh!kama wanawake wasipotaka kujifunza kuhusu somo hili basi wao ni wabishi tu,jamani kutoa huduma kwa wanaume zetu ni wajibu lakini pia ni moyo,wakati mwingine inakera sana kama jana mume wako ulimnyonya mr happy basi atataka kila siku ufanye hivo hata kama hauko katika mood,inakera tabia hii

Anonymous said...

maoni ya pili hapo juuu, ni kweli ni vizuri kujifunza, hata hivyo kutokana na maelezo ya somo ni kwamba Mr. Happy huwa hana memory, yaliyofanyika jana au muda uliopita huwa hakumbuki, yeye anaishi kufuata sasa, hivyo yote ulifanya ili afurahi au atabasamu na kufurahi ikifika leo anakuwa amesahau na anahitaji upya huduma zote.

Ni muhimu kujifunza kila mmoja kumtanguliza mwenzake na kwamba tendo la ndoa ni zawadi kila mmoja (mke na mume) kwa mwenzake.