"Marriage is our last, best chance to grow up."

Tuesday, February 8, 2011

Naweza Kunywa?

Je, sex inaweza ujisikie mwenye raha?

Jibu ni ndiyo au hapana.

Tafiti nyingi zinaonesha kwamba sex huweza kuponyesha baadhi ya misongo ya mawazo (mild depression). Wakati wa sex mwili huzalisha homoni za endorphins kwenye damu ambazo hufanya ujisikie vizuri.

Kwa maelezo zaidi soma hapa

Hata hivyo Profesa Fletcher anasema sex hukufanya ujisikie vizuri pale tu kukiwa hakuna maumivu, magonjwa ya zinaa na wala kupeana mimba bila kutarajia au kupigana.

Je, siku zangu zinaweza kubadilika kwa kumpata mwanaume mpya?

Jibu la swali hili pia ni ndiyo au hapana kwa maana kwamba haziwezi kubadilika isipokuwa zinaweza kubadilika kama mwanaume mpya atakupa mimba na pia kama anaweza kukusababishia stress ambazo zinaweza kusababisha siku kubadilika.

Je, unaweza kunyonya matiti ya mwanamke mywenye mimba au anayenyonyesha wakati wa sex?

Kwa mwanamke mwenye mimba kawaida maziwa huweza kutoka kwenye matiti katika miezi 3 ya mwisho.

Baada ya mtoto kuzaliwa kunyonya matiti haina tatizo wala madhala yoyote na watoto ni wastaarabu wanaweza kuruhusu na wewe baba ku-share.

Na wababa wengi hupenda ladha ya maziwa na ni mengi kiasi cha kutoathiri kiasi cha maziwa motto anahitaji kutoka kwa mama.

Hii ina maana kwamba kabla ya miezi mitatu ya mwisho kwa mwanamke mwenye mimba haina shida na baada ya motto kuzaliwa haina shida pia.

Je, ni mlalo upi (sex position) ambao wanaume na wanawake wanaupenda zaidi kuliko yote?

Ni kweli watu hupenda vitu tofauti hata hivyo kati ya wanawake 8 walioulizwa; 5 walikiri kupenda doggy style (rear entry), mmoja alikiri kupenda 69, na wawili walikiri hawapendi ile ya kwanza.

Cha ajabu ni kwamba wanaume walioulizwa walikiri kwamba wao wanapenda style yoyote.