"Marriage is our last, best chance to grow up."

Tuesday, June 7, 2011

Nani zaidi?

Hapo zamani hasa katika desturi na mitazamo ya mila za kiafrika, mwanamke aliyeolewa akiwa mnene alipongezwa kwa kupata mume tajiri na pia kama hajaolewa wanaume walimpapatikia kwa kuwa ana dalili ya afya njema.
Katika kizazi cha leo meza zimegeuzwa na kumezuka mabishano ya nani zaidi katika ya mwanamke mnene au mwembamba (skinny VS Fatty).
Pia kumekuwa na juhudi za wanawake kupunguza unene tofauti na zamani.

Sipendi kufahamu kile unawaza au kufikiri bali napenda kujua uhalisi wa uzoefu wako je, mwanamke mnene na mwembamba nani zaidi?

9 comments:

Anonymous said...

Mpenzi wangu (boyfriend) ananipenda kwa sababu mimi ni mwanamke mwembamba na si wembamba tu bali kwa sababu nina misuli imara.

Anonymous said...

Wakati mwingine wanaume hupenda mwanamke size yake, kama ni mwembamba hupenda kuwa na mwanamke mwembamba na kama ni mnene hupenda mwanamke mnene.

Anonymous said...

Mimi ni mwanamke mnene na kila mwanaume ambaye nimekuwa naye katika mapenzi anapenda sana doggy style wakati wa sex.
Sijajua kama hilo lina uhusiano wa kuwa mnene.

Anonymous said...

Naamini size ni suala muhimu sana, jambo la msingi ni vile unajisikia kuwa na huyo unayempenda awe mnene au mwembamba

Anonymous said...

Ukweli ni kwamba wanaume wanene wazuri sana kwa sex hasa doggy style (rear entry) na mwanaume unafurahi kuangalia makalio yake na ile inaleta hamu zaidi ya kwenda extra mile.

Anonymous said...

Ukweli wanaume tunapenda sana wanawake wanene, matiti makubwa, na makalio makubwa na kama mwanamke hana hivyo vitu afahamu kwamba wanaume wengi hawavutiwi.

Anonymous said...

Kweli wanaume wangi wanapenda sana wanawake wanene..sijui kwa ajili ya makalio na maziwa..

Anonymous said...

mimi ningekuwa mwanaume,nadhani napenda sana wanawake wembamba,najua style zote zinawezekana,mwepesi,pumzi ya kutosha,chezea mwanamke mwembamba weye

Anonymous said...

mimi mume wangu ananipenda vile ni mwembamba na amesema tu nikinenepa tutagombana,nadhani ananifurahia jinsi nilivyo