"Marriage is our last, best chance to grow up."

Sunday, July 3, 2011

Km 45 kwa Saa

Wastani wa urefu wa uume ukiwa umesimama (dinda) ni sentimita 14 – 17.

Wastani wa mzingo (circumference) wa uume ukiwa umesimama ni sentimita 11.

Wastani wa sperms zinazotolewa kwa mara moja wakati wa sex ni milioni 100.

Wastani wa mwendo (mwendo kasi) wa sperms zinapotoka huwa km 45 kwa saa.

Wastani wa mwanaume kusimamisha uume wakati amelala ni mara 9 kwa usiku mmoja.

Wastani wa ujazo wa sperms ambazo mwanaume hutoa katika maisha yake ni lita 53.

No comments: