"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, August 8, 2011

Happy birthday Lazarus..

Leo nimetimiza miaka kadhaa.
Nashukuru upendo wa mke wangu Gloria na watoto wangu Emmanuel (8) na Karen (2) walionipa na kunifanya niwe na furaha, bila ninyi vitu vingine havina maana na thamani kwangu.
Pia nawashukuru familia na marafiki zangu wote kwa upendo wenu na maombi yenu, kwani ninyi mnanifanya nijifunza kuwa mtu bora duniani.

Mungu akubariki

Lazarus P. Mbilinyi

6 comments:

Anonymous said...

Belated Birthday Wishes bro!! I hope you have a great week.

Regards,
Joan

Anonymous said...

Happy Belated Birthday kaka,May the lord bless u and ur family.

Love u all.


Edith M.

Lazarus Mbilinyi said...

Asante sana.

Laz

Yasinta Ngonyani said...

Naamini sijachelewa ni siku kadhaa zimepia lakini hata hivyo napenda kukupa HOKE SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA KAKANGU..Hongera be

Anonymous said...

This more than late, but happy birthday!I wish to know how did it go when you got your second born as the gap is 7 years?

Lazarus Mbilinyi said...

It was fantastic!
We planned to have the second born in another country (two kids different citizenships)and thank God it worked.

It is also very fun for the kids with big gap cos they never fight but loving and caring for each other.

Love always!