"Marriage is our last, best chance to grow up."

Thursday, October 11, 2012

Wapenzi wasomaji.
Samahani kwa kuwa busy, nimerudi baada ya kukosekana kwa muda mrefu sana kutokana na kuwa na kazi zingine ambazo zilinifanya kukosekana hapa.

Kama ni duka basi nimerudi na bidhaa mpya kwa ajili yako wewe mteja wangu.

KARIBU SANA