"Marriage is our last, best chance to grow up."

Thursday, October 11, 2012

Wapenzi wasomaji.
Samahani kwa kuwa busy, nimerudi baada ya kukosekana kwa muda mrefu sana kutokana na kuwa na kazi zingine ambazo zilinifanya kukosekana hapa.

Kama ni duka basi nimerudi na bidhaa mpya kwa ajili yako wewe mteja wangu.

KARIBU SANA8 comments:

Anonymous said...

Glad U are Back

Anonymous said...

where have you been? We are here waiting for you, we really miss you.

Bennet said...

Karibu sana tunasubiri hekima zako

Anonymous said...

Tumekumiss sana


Abraham J. Mcharo

Anonymous said...

Kaka hatukuoni lakini hatuachi kutembelea humu kwa kuwa kuna hazina kubwa sana,huwa napitia nakupitia sana hata post za nyuma,huwa kuna uponyaji wa hali ya juu sana ambao wana ndoa wanaupata kutoka hapa,ndoa zingine zinavunjika kumbe tu watu hawana uelewa.Hapa watu wengi wamenusuru ndoa zao.

Barikiwa sana.

Abraham J. Mcharo

Yasinta Ngonyani said...

Nifuraha kusikia hii habari kuwa upo nasi karibu sana maana kweli unahitajika

Anonymous said...

mbn kimyaaaaa sana

Yasinta Ngonyani said...

Yaani mno mno tumekumiss..karibu sana sana:-)